Tunauza nguo za mtumba (grade one) za Watoto na Wakubwa

ERIK

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
623
315
Habari Ndugu zangu,

Tunauza nguo za mtumba grade one kutoka Dubai na South Africa, Nguo zetu zinakuwa kama mpya kabisa na unaweza kununua na kwenda kuuza dukani pia.

Tunapatikana Tabata Segerea/ pia ukiweka oda unaeza kuletewa ulipo ndani ya Dar kwa watu wa mikoani tunatuma pia kwa uaminifu mzuri kabisaa...

Tunauza kwa Bei ya Jumla na Reja reja Bei za jumla ni kuanzia 3,000 na kuendelea

Kwa maelezo zaidi / bei na picha naomba tuwasiliane 0658644485 / 0652665700

Karibuni saana
 
Kutoka Dubai na South Africa, inamaana zimevaliwa na hao waarabu na wasouth africa zikiwa mpya au inakuwaje?
 
Wa South Africa nao wamekua matajiri kiasi hicho cha kuvaa nguo na kuiacha bado ikiwa mpya!!... Wako vzr sana
 
Uza belo basi mkuu, hiyo moja moja kwa mtumba unatuchosha tu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom