Tunauza nguo za kiume

Tunauza nguo za kiume

Vine94

Member
Joined
Oct 1, 2016
Posts
38
Reaction score
22
Tupo Kariakoo Mtaa wa Kongo na Aggrey.

Tunauza mashati ya kiume mikono mirefu na mifupi, Tisheti za form six, body, kadeti.

Bei zetu ni nafuu sana. Pi,a ukinunua kwa wingi utauziwa kwa bei ya jumla.

Karibuni dukani, pia mikoani tunatuma mzigo bila shida yoyote.

Shati mikono mirefu = 17,000
Shati mikono mifupi =16,000
Tisheti form six = 16,000
Tisheti body = 13,000
Kadeti = 22,000

Tupigie au WhatsApp kwa namba hizi: 0744575261

IMG_20191215_104437_394.jpeg
IMG-20191214-WA0014.jpeg
IMG-20191214-WA0021.jpeg
IMG_20191215_104437_391.jpeg
IMG_20191217_175653_514.jpeg
IMG_20191217_181106_851.jpeg
IMG_20191215_104057_834.jpeg
IMG_20191212_175339_849.jpeg
IMG-20191214-WA0007.jpeg
IMG_20191212_175233_316.jpeg
IMG-20191213-WA0074.jpeg
IMG-20191213-WA0121.jpeg
Screenshot_20191212-144217~2.jpeg
Screenshot_20191212-144137~2.jpeg
Screenshot_20191215-175959~2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupo Kariakoo Mtaa wa Kongo na Aggrey.

Tunauza mashati ya kiume mikono mirefu na mifupi, Tisheti za form six, body, kadeti.

Bei zetu ni nafuu sana. Pi,a ukinunua kwa wingi utauziwa kwa bei ya jumla.

Karibuni dukani, pia mikoani tunatuma mzigo bila shida yoyote.

Shati mikono mirefu = 17,000
Shati mikono mifupi =16,000
Tisheti form six = 16,000
Tisheti body = 13,000
Kadeti = 22,000

Tupigie au WhatsApp kwa namba hizi: 0744575261

View attachment 1299070View attachment 1299072View attachment 1299073View attachment 1299075View attachment 1299077View attachment 1299078View attachment 1299079View attachment 1299080View attachment 1299082View attachment 1299083View attachment 1299084View attachment 1299085View attachment 1299086View attachment 1299081View attachment 1299074

Sent using Jamii Forums mobile app
hamnunui mimi niwauzie?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hujui kitu nibora ukakaa kimya, hakuna kadeti ambayo haipauki... Tena hapa town na maji ya chumvi ndo balaaa ukijifanya unafua fua tuu imekwisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kiasi Fulani upo sahihi boss hata mm nimevaa Sana kadeti zinazopauka, kupauka au kutopauka inategemea na kadeti husika ilijumuliwa kwa Bei gani,..najua ni ngumu kuamini Ila zipo kadeti ambazo hazipauki kabisa Bei yake ipo juu wengi huwa hatupo tayari kuilipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sure, yaani nimenunua kadeti kila design mpaka nikawa najiuliza nakosea wapi yaani ukifua mara 3 au 4 tayari.
Mimi mwenyewe nlishauza kadeti ambazo sio za ubora Sana, baada ya malalamiko mengi kutoka kwa wateja, nmebadili Aina ya bidhaa zangu, Sasa kadeti hizi na uhakika ni quality nzuri Sana, usishangazwe na Bei hii ukadhani kuwa zitakuwa ni zile zile za siku zote, ni kwamba nafanya hivi ili kupanua soko langu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom