Tunauza nguo za kike na kiume

Tunauza nguo za kike na kiume

Size : M to XXXL
Bei: shati elf 18000, wallet 12000 na mkanda 15000 ngozi
IMG_20200415_064421_214.jpg
IMG_20200415_064421_217.jpg
IMG_20200415_064421_212.jpg
IMG_20200415_064421_206.jpg
IMG_20200415_064421_191.jpg
IMG_20200415_064421_137.jpg
IMG_20200415_064421_138.jpg
IMG-20200415-WA0014.jpg
IMG-20200415-WA0004.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumerudi tena, bada ya changamoto ya corona mizigo ikawa haingi ila sasa mambo yamenza kulejea. Kwa shart za kijanja waweza tucheki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo kule kwenye group umekuwa mtemi Sana hutaki watu wa comment

Acha udikteta dada hii ni biashara usichukiane na wateja

Wengine tumeleft huko Shaur ya utemi wako
Jamaa alikuchana live unauza Nguo zako bei kubwa Sana ukachukia

Si ungemuelewesha, Sasa na Mimi nakuchana live hapa ni remove Sasa...

Acha ubabe uchwara dada

Sent by IPhone
 
Kumradhi sana boss wangu, nimezuia watu wasicomment sababu wengi wao walikua wanatuma matangazo yao ya viwanja na ishu nyingine kinyume na dhumuni la group.

Pili sikweli kama kuna mtu alinisema kusu bei zangu nikachukia, nashaka kama upo kwenye group nililopo. Kwangu mteja anapewa kipaumbele zaidi. Maoni na malalaiko yake ndio yatakayo jenga biashara yangu hivyo siwezi chukia.

Naomba nitoe shukrani kwa ushauri na malalamiko nitayafanyia kazi.
Mwisho mimi ni wakiume sio dada.
Karibu sana
Tatizo kule kwenye group umekuwa mtemi Sana hutaki watu wa comment

Acha udikteta dada hii ni biashara usichukiane na wateja

Wengine tumeleft huko Shaur ya utemi wako
Jamaa alikuchana live unauza Nguo zako bei kubwa Sana ukachukia

Si ungemuelewesha, Sasa na Mimi nakuchana live hapa ni remove Sasa...

Acha ubabe uchwara dada

Sent by IPhone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom