Nauza nguo za kike na kiume aina zote. Tunauza tsherts, mikanda, wallets, mashati, gauni, suruali n.k
Waweza fika dukani k/koo mtaa wa manyema mkabala na jengo la ddc, uone ni jinsi gani kupendeza kumerasishwa.
Pia kwa wateja wasio weza fika dukani kwetu kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao, tunafanya uduma ya kupeleka mzigo popote pale. Uduma hii kwa wakazi wa Dar es salaam ni bule kabisa. Na kwa wateja walio nje ya mkoa wa Dar es salaam tunafanya huduma hii pia kwa gharama ya mteja.
Kwa mawasiliano waweza nitafuta kwa whatsapp no.0684085052 au kufollow account ya instagram
I'm on Instagram as @nguo_za_kike_na_kiume. Install the app to follow my photos and videos. Instagram
Karibuni sana.
Cost inategemea kwenye gar wenyewe watataka shingapi? Ila kwauzoefu wangu ni elf 5000 kwa mzigo wa kawaida, na elf 10000 kwa mzigo unaozid thamani ya laki mbili