ICS GROUPS tunauza milango ya mbao za mninga au mkurungu bora na kwa bei nafuu katika mkoa wa Dar es salaam. minimum order ni milango minne kwa design unayotaka . Kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane kupitia icsgroups.info@gmail.com.
Poa umesomeka ngoja wajenzi waje.
asante kwa ushauri wako kama ICS GROUP tunaufanyia kazi na very soon tutaweka maelezo ya ziada . icsgroups.info@gmail.commkuu unaweza:1. kuweka picha ya baadhi ya milango mliotengeneza na 2. mko wapi geographically ili tukiweza tupite kuiangalia? asante
asante kwa ushauri wako kama ICS GROUP tunaufanyia kazi na very soon tutaweka maelezo ya ziada . icsgroups.info@gmail.com