sir. Mwasongwe
Senior Member
- May 30, 2015
- 106
- 76
Kuanzia tsh 20+ kulingana Na sizeBei gani?
Hiyo ndo mifuko lakini sio zile condoms! Yaani inanikera ile "mifuko", hadi basi!
material unapata wapi?
hasa hizo kamba
Nakuchek tuyajengeKuanzia tsh 20+ kulingana Na size
Condom tenaHiyo ndo mifuko lakini sio zile condoms! Yaani inanikera ile "mifuko", hadi basi!
Ungeweka picha ya size na bei yake na jinsi ya usafirishajiKuanzia tsh 20+ kulingana Na size
Kabisa! Tena ninavyoichukia hii mifuko, hata kuiita condoms nimeipendeleaCondom tena
Ipi hiyo? Hii iliyopigwa marufuku?Kabisa! Tena ninavyoichukia hii mifuko, hata kuiita condoms nimeipendelea
Hiyo hiyo! Mi ile nimeacha kuitumia kitambo sana na wala sikumbuki nimeitumia lini mara ya mwisho
[emoji3][emoji3][emoji3] aisee, sawaHiyo hiyo! Mi ile nimeacha kuitumia kitambo sana na wala sikumbuki nimeitumia lini mara ya mwisho
Au mpenzi wangu wewe unasikitika kupigwa marufuku hii mifuko?@[emoji3][emoji3][emoji3] aisee, sawa
Nasikitika ilikuwa inanisaidia kuwasha motoAu mpenzi wangu wewe unasikitika kupigwa marufuku hii mifuko?@
Sa' mpenzi wangu ndo unataka kunidhalilisha mbele za watu kwamba huwa sikuachii pesa ya kununua mafuta ya taa; au?!
[emoji3][emoji3] mafuta ya taa pekee hayatoshi mpenziSa' mpenzi wangu ndo unataka kunidhalilisha mbele za watu kwamba huwa sikuachii pesa ya kununua mafuta ya taa; au?!
Mnh! My angel! Ina maana umeanza kutumia makaa ya mawe hadi mafuta ya taa yagonge mwamba; au?[emoji3][emoji3] mafuta ya taa pekee hayatoshi mpenzi