Tunauza Mbuzi wa maziwa

Tunauza Mbuzi wa maziwa

MKT

Member
Joined
May 10, 2019
Posts
10
Reaction score
53
Dume la mbuzi wa maziwa wale wanaozaa mapacha

Dume moja linaweza kuboresha kizaz cha Mbuzi wako hata kama sio Mbuzi wa maziwa

Njoo tuzungumze

Njoo tukufundishe

Njoo tukushauri

#mbuzi #mbuziwamaziwa #maziwa

Mbuzi hawa wanasifa nyingi ila hizo ni chache tu, kama unahitaji aina hii ya mbuzi wasiliana nasi kupitia

Simu:
+255 712 253 102(WhatsApp)
+255 765 291 489
+255 625 994 023

Email:
mifugotz@gmail.com

IMG_20190718_212437_765.jpeg
 
Aise nitakutafuta mim nimtumiaji mzur sana wa maziwa ya mbuz pia ni dawa kwa wale wenye alsas /vidonda vya tumbo ...kwa maelezo zaid kujeni pm niwafunze jinsi ya kuapply hayo maziwaa
 
Mkuu kwanini usiweke Bei na location alipo huyo beberu tuone jinsi ya kujipanga
 
Dume la mbuzi wa maziwa wale wanaozaa mapacha

Dume moja linaweza kuboresha kizaz cha Mbuzi wako hata kama sio Mbuzi wa maziwa

Njoo tuzungumze

Njoo tukufundishe

Njoo tukushauri

#mbuzi #mbuziwamaziwa #maziwa

Mbuzi hawa wanasifa nyingi ila hizo ni chache tu, kama unahitaji aina hii ya mbuzi wasiliana nasi kupitia

Simu:
+255 712 253 102(WhatsApp)
+255 765 291 489
+255 625 994 023

Email:
mifugotz@gmail.com

@mifugo_tz
@kilimo_tz
@afyakiganjani

#mifugo #mifugotz #kilimotz #ufugaji #kuku #broiler #tanzania #incubator #kuroiler #sasso #mbuzi #mbwa #paka #daressalaam #morogoro #tanzania #bata #kuchi #kilimoufugaji #mwanza #arusha #mbeya #kilimanjaro #afyakiganjaniView attachment 1156849
Weka bei usichoshe wahitaj
 
Aise nitakutafuta mim nimtumiaji mzur sana wa maziwa ya mbuz pia ni dawa kwa wale wenye alsas /vidonda vya tumbo ...kwa maelezo zaid kujeni pm niwafunze jinsi ya kuapply hayo maziwaa
Mkuu habari yako? Nina vidonda vya tumbo vinanisumbua mno, tafadhari naomba unipe muongozo, natanguliza shukrani
 
Mkuu habari yako? Nina vidonda vya tumbo vinanisumbua mno, tafadhari naomba unipe muongozo, natanguliza shukrani
Pole sana mkuu kwa kusumbuliwa na madonda ya tumbo,japo si mimi uliyeninukuu lakini naomba nikupe mwongozo juu ya namna ya kuishi kwa amani na madonda ya tumbo na huenda yasikusumbue tena.

Mwanzoni wakati naanza kuumwa niliteseka sana,nimeenda bugando Mara mbili na muhimbili Mara mbili,lakini nafuu nilikuja kuipata nilipokutana na Dr. Majimbe pale Bugando ambaye hakunipa dawa ila alinipa maelekezo ya namna ya kuishi na madonda ya tumbo,na tangu hapo sijawahi enda hospital wala sijawahi sikia maumivu ya madonda ya tumbo

Moja ya masharti au namna ya kuishi na madonda ya tumbo ni kuacha kunywa vinywaji vya viwandani kama vile soda na juisi pia pombe

Mbili epuka ulaji wa ndizi mbivu,maparachichi,pia epuka unywaji wa maziwa fresh hakika utapa nafuu.

Tatu epuka kulala baada ya mlo, subiri hadi Masaa mawili hadi matatu baada ya kula ndo ulale

Kitu kingine ambacho ni muhimu ni kula chakula kwa wakati,mfano usisubiri muda maalumu wa kula amabao tumezoa SAA nne chai,SAA nane chakula cha mchana na SAA mbili usiku chakula cha usiku,Fanya hivi SAA mbili asubuhi kunywa chai na kitafunwa,SAA sita mchana kula chakula cha mchana na SAA kumi na mbili jioni kula cha kula cha usiku,hakika utapata nafuu


Mwisho naomba nisisitize matumizi ya unga wa majani ya mlonge,hii ni tiba nzuri sana kwa magonjwa ya madonda ya tumbo

Ijaribu tiba hii huenda unakapata nafuu,sasa hivi mimi nina miaka miwili bila kutumia dawa za hospital katika kutibu madonda ya tumbo na kwa asilimia 80 Niko na unafuu.

Pole sana mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom