Hansal Depot
Member
- Sep 5, 2018
- 8
- 5
na kuhusu hayo ya mtindi ni yale yana kuwa machachu au kama yoghurt? maana kuna aina mbili kuna yale ya kiasili yana kuwa na uchachu na mengine ni haya ambayo yanakuwa ya kawaida hayana uchachu ni kama yoghurt isiyo na flavor. nakusikiliza.
mkuu mimi nahitaji hao ngombe wa maziwa nina bajeti ya 1.8 M awe ana mimbaTUNAUZA NA KUSAMBAZA MAZIWA DAR ES SALAAM.
KUTOA ODA,PIGA 0715052712 (Masaa 24)
- MAZIWA FRESH TSH 9,900/= (Kwa lita 5)
- MAZIWA MTINDI TSH 11,900/= (Kwa lita 5)
TUNALETA BURE ULIPO (Vigezo kuzingatiwa)
TUNAPATIKANA MWENGE (Mtaa wa Kipepeo-DSM),KARIBUNI SANA.
Mkuu hayo maziwa hamuongezi maji hata kidogo? maana tushazoea yenye maji na sehemu nyingine fresh wanaongeza maji halafu na mafuta kidgo. ninyi hamfanyi hivyo? au mnafanya kiasi si sana?
mkuu mimi nahitaji hao ngombe wa maziwa nina bajeti ya 1.8 M awe ana mimba
mkuu mimi nahitaji hao ngombe wa maziwa nina bajeti ya 1.8 M awe ana mimba
Hello ndugu mteja......
Kuna aina tatu za mtindi
Maziwa yetu ni kundi la pili.Maziwa hayana uchachu.ILA jinsi yanavyokaa kwa muda ukali huongezeka kutokana na shuhuli za bakteria wanaotumika kuzalisha mtindi kuongezeka.Pia maziwa yanapokaa nje na jokofu hufanya kuwa machachu kwakuwa room temperature huongeza kasi ya uzalishwaji wa bakteria wanaochachusha maziwa.
- Traditional buttermilk (made by settling unpasteurized milk)
- Cultured buttermilk (made by adding lactic acid bacteria to pasteurized milk)
- Acidified buttermilk (made by food grade acid such as lemon acid)
shukrani kaka,Stay blessed nitakutafutaHabari ndugu Mob....ombi lako limefika,tutalifanyia kazi na utapata mrejesho karibuni na kama kuna maelekezo mengine tafadhali wasiliana nasi kupitia inbox. Ahsante
Ni rahisi mno ndugu....kujua maziwa yamechakachuliwa na maji (milk adulteration) kwa ngazi yanyumbani chapchap, kuna njia kuu mbili ambazo ni:Ukitaka kujua kama maziwa yameongezwa maji au lah unafanyaje?
Usikate tamaa ndugu mteja mtarajiwa...Hansal Deepot mkombozi wako...jaribu maziwa yetu muda wowote na utajionea utofauti ni halisi 100% na hayajazimuliwa na chochote.sitakaa kuja nunua izi mambo, uchakachuzi umekua mwingi siku izi, kuongeza maji na kuongeza soya kwenye maziwa,
Faida za kunywa maziwa zipo wazi tu ndugu na pia kuhusu yapi yananenepesha zaidi ya mengine utafiti huo bado haujafanyika.ILA kati ya yale makundi matatu kundi la pili lipo salama zaidi (cultured buttermilk),sababu maziwa huchemshwa kwanza kabla ya hatua ya ugandishwaji ukilinganisha mtindi wakienyeji ambao hauchemshwi kabla haujagandishwa.Kundi la tatu ni kama quick version ya cultured buttermilk hutumika katika mapishi sanasana.safi.. sasa tuongee kitaalamu nashukuru umekuja kujibu. unaweza elezea kidogo hizo aina na faida zake? mi napenda yale yasiyo machachu. na je yanaweza saidia kunenepesha kwa mtu anayetaka kunenepa yapi yanamfaa...?
Napenda mtindo wako,biashara ya kawaida lakini umeipamba na kuiboresha.kila la kheri natamani siku1 ulete mrejesho hapa mimi nafanya "tafiti'Habari ndugu mteja...
MAZIWA yetu ni halisi kabisa hatuongezi chochote (No additives ,No water adulteration ) na pia kama ikatokea tatizo ambalo kimsingi litakuwa limesababishwa na upande wetu basi tunapokea returns na mteja atafidiwa mara moja.
HATUA JINSI MAZIWA YANAVYOPATIKANA MPAKA KUMFIKIA MTEJA.
Hivyo ndivyo maziwa mabichi (Fresh raw milk) yanavyopatikana.Kutumia maziwa haya yampasa mteja kuyachemsha kwanza.
- Maziwa hukamuliwa asubuhi na jioni kila siku
- Maziwa huchujwa tu mara baada yakukamuliwa
- Maziwa hupimwa uzito (milk density) kwakutumia lactometer
- Maziwa hupakiwa kwenye galoni safi mpya.
- Maziwa yanapelekwa kuhifadhiwa kwenye jokofu tayari kwa usambazaji.
- Maziwa husambazwa kwa oda na mteja hulipa pale tu anapopokea maziwa (Cash on delivery)
IKUMBUKWE....FRESH RAW MILK IS THE MOST ''NUTRITIOUS MILK'' COMPARED TO OTHER TYPES OF MILK.
''GO LOCAL....GO RAW....GET HEALTHIER''