safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 12,314
- 18,146
Zanzibar unao wakala au unasafirisha ?Endelea kujipatia Magodoro View attachment 1750498
Kama unasafirisha ni bei gani ?
Zanzibar unao wakala au unasafirisha ?Endelea kujipatia Magodoro View attachment 1750498
Hapana bado ila tunatuma ndugu kwa gharama zako likifika bandarini kwenye meli za mizigo na wakikuhakikishia wamepokea ndipo unalipa kwetuZanzibar unao wakala au unasafirisha ?
Kama unasafirisha ni bei gani ?
Karibu magodoroUnaletewa bure popote ulipo ndani ya darView attachment 1772094
Godoro zipoKaribu magodoro
Hadi utenguke kiuno,godoro litakuwa bado kwenye hali nzuri😁Kwa wastani game ngapi zinafanyika hadi godoro lichakae?