Tunauza magazeti kwa bei ya jumla

Tunauza magazeti kwa bei ya jumla

Joined
Jun 11, 2011
Posts
83
Reaction score
49
Habari wadau wa jamii forum, tunauza magazeti kwa Bei ya jumla ( bando moja lenye kilo 15 = 35000/=) Bei yaweza shuka Kama mteja utanunua bando kuanzia 100. Tunapatikana Chang'ombe dar es salaam kwa mawasiliano zaidi piga +255753858259, 0712928392, 0783696253.
 
ni ya kusoma habari au kufungia maandazi?

kama ni vifungashio basi ni vema ukayaondoa magazeti ya tanzanite yale yanayoandikwa na musiba
 
Back
Top Bottom