View attachment 734630 Hii gari nimeiona kwa dalali imesimamia 3.5mil. Kichekesho ni kuwa dalali anatangaza 3.5mil na huyu mwenye gari ni 3.65mil na haipungui.

Utapata tu mteja gari zuri wengine wakati huenda bado. Umeandika Eugene 5A, ndo nini?. Sisi tusio na magari huwa tukisikia 6 cylinder ,tunaogopa eti zinakula mafuta mno.