Asante nimesha uza kwa wale mlio nitukana na kunikejeli pia nawashukuru Sana mungu hswabariki na pia wale walio nisaidia kuwa jibu walio kuwa wakinitukana najalibu kuwaomba matusi ayajibiwi na matusi asanteni Sana nawale walimu wangu wakiswahil wanao nisahisha nawashukuru pia siwengine hatukusoma km nyie mlio soma shukran

Acha wizi wewe hiyo gari nimeikuta Instagram inauzwa mil 5.5 lakini wewe unauza mil 7
Hivi watanzania kwanini tunapenda ujanja hivi,ata Kama maisha ni kutegemeana sio kwa style hiiπππππ
Acha wizi wewe hiyo gari nimeikuta Instagram inauzwa mil 5.5 lakini wewe unauza mil 7
Hivi watanzania kwanini tunapenda ujanja hivi,ata Kama maisha ni kutegemeana sio kwa style hiiπππππView attachment 1697962
mkuu wabongo ni watu wa ajabu sana. unawezakuta mwenyewe anataka milioni 5 tu au hata 4.5M, Sasa kianzio cha hapo gari inaanza kupanda 5 inaenda 6 kwa dalali wa pili...inaenda 7 kwa dalali wa tatu na kuendelea. Kuna umuhimu wa madalali kushughulikiwa na kuwa registered na walipe kodi ilikuleta unafuu kwa wateja wao.