Car4Sale Tunauza Magari aina mabalimbali

Yan mtu mzima na heshima zako unanunua huo uchaf wenye kutu kwa 180k unafunga kwenye gar lako? Shame upon u!
We kweli bado mtoto yaani unavyosema huo ni uchafu utadhani unamiliki hata gari au baiskeli kumbe wewe ni mfunga ving'amuzi vya dstv 🀣🀣🀣🀣

Tumeona picha zako dogo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kabisa aisee yaani ukimuona dogo mwenyewe utashangaa kanaonekana hakana kitu ila kwasabab jf kila mtu boss ndo kanakuja kujimwambafy
sema sasa tushakaona so hakatupi taabu
Angalia mdomo uliponza kichwa! Kua makini!
 
Tulia ww,ushapata gar ya mil.2 au..wanaume wanapopambana mtoto wakike unatakiwa utulize marinda yasijetatuliwa
Yani wewe hukomi
kule umekimbia uzi kwa dalali
alikukomesha kweli hadi ukatoka nduki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…