Tunauza kuku aina ya tanbro

Tunauza kuku aina ya tanbro

mackmambo

Senior Member
Joined
Jul 7, 2018
Posts
106
Reaction score
65
Habari zenu nina kuku aina ya tanbro chotara nauza wakiwa na miezi 2 tayari chanjo zote nishapiga bei kila moja ni sh 8000 napatikana Dar es Salaam maeneo ya Tabata Mawenzi
IMG-20191012-WA0020.jpeg
FB_IMG_15711979363195144.jpeg


Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app


number zangu 0716_171092

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Nyama nyororo
Wana uzito wa kilo ngapi? Unaposema wanataga mayai mengi, mengi kwako ni mangapi?
hizo ni moja ya sifa zao kaka ila hao ninauza mimi kutaga awajanza wana miezi 2 na siku 3
 
8000 napata broiler na kilo ya mchele ni kula kwa kwenda mbele, lazima nitembee kifua mbele , reli tunajenga kwa pesa zetu wenyewe pamoja na sitigilas.
 
Back
Top Bottom