Tunauza jogoo

Tunauza jogoo

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,255
Anaweza akabaka hata watoto wa majirani!
 

Attachments

  • 1448265019268.jpg
    1448265019268.jpg
    20.2 KB · Views: 1,040
Ni kawaida kwa wanyama kama usipojua tabia zao kwani huyo paka ni jike hivyo mtafutie dume haraka au waruhusu paka wengine waingie ndani ya nyumba yako
 
Kuna jogoo mmoja wa jirani yetu kipindi nikiwa mdogo, alibaka kifaranga cha kuku wetu mpaka akakivunja miguu. Au unakuta li bata dume limekumbwa na mihemko, linabaka kuku. Huu ujinga hauko kwa binadamu tu, hata hawa wanao!
 
Hivi vyakula vya kisasa vya kuku vinavyochanganywa na viagra ni hatareeee......
 
Hahaa.huyu atakuwa paka wa mezani.😀😀😀
 
Paka kaipenda ya jogoo si mwaona jinsi anavyoisikilizia inaonyesha ya paka wenzie inampwelepweta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom