Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,404
- 100,603
You just dont start lecturing people! Who are you?
yah bado nazinunua , unayo
Habari zenu
hapa mimi natafuta anaye uza madini kama tanzanite,
ruby,dhahabu,almasi na vingenevyo
lakini eshu langu ni (JIKO ) na vifa wa ugermani
e.g sahani, kisu, bakora, siniya, glasi
sasa alama ya jiko hii ni
jiko hilo lina alama ya simba wa wawili na mtende,au alama ya mzungu anaitwa kaisar ,juu ya kichwa chake kuna ndege ,halafu je ina alama" J".na . je hiyo jiko linanasa kiwembe .pia chukue hilo jiko uweke mbele ya kio kisha test je linaonekana kny kioo au alionekani?
kama halionekani basi ndo hilo!!!!
hii jiko moja bei yake kwanzia millioni10 hadi 50tsh
kuwasiliana na mie kuhusu madini na vifaa ya ugermani wa zamani contact me 0654167472 au kwa email yangu
swty-shosho@hotmail.com
it seems you like to make fun of people comeon your big enough to do such a thing
Yah......ni vizuri kujua kwa nini anauza......so kama ni zengwe ununue tu kisa familia imeamua......? Je kama hiyo sehemu inapita barabara au nyumba ina madai inataka kupigwa mnada wewe ununue tu.......?
Preta,hawa jamaa sio kabisa. Sisemi kama mbaguzi bali wengi wao wanajiita Watanzania halafu hata lugha ya Watanzania hawaijui. Kwa nini hawaijui? Ni kwa sababu wanajitenga na hawajishirikishi na wananchi wengine kwa ubaguzi wao. Wao wapo tuu kwa ajili ya kutumia fursa iliyowazi ya kujichumia utajiri kutoka kwa maskini wa nchi hii.Hiki Kiswahili ni cha Tanzania au cha Google.......?
Then dont bother us with your problemsYou just dont start lecturing people! Who are you?
8million$
Bado anaamini wanaojua kiingereza ndio wana hela,
kuna wasukuma huo wa migodi na viwanda vya mminofu ya samaki wana hela ila hata sign wanatumia dole gumba hawajui hata "A " inaandikwaje!