Hiki kimashine nakihitaji sana ila kwa bei hio hapana. Mbeya tu laki4 na nusu.LPanga bei reasonable tunajua bei zake halisi ila hatuna mda wa kuagiza Alexp au Alibaba. Sasa msitupige bei za ajabu. Tutaendelea kutumia makwanja halafu mlie njaa. Wakija wavhina kuuza bei rafiki mnataka wafukuzwe. Jirekebisheni jamani.