Tunauza dagaa wa mwanza

Tunauza dagaa wa mwanza

DAGAA WA MWANZA

Senior Member
Joined
Jan 27, 2019
Posts
169
Reaction score
465
Kwa wale Wafanyabiashara wakubwa, wakati na wadogo tunayofuraha kuwatangazia upatikanaji wa dagaa safi kutoka Mwanza.

Sifa za dagaa ni
Wasafi hawana mchanga
Siyo wachachu kama uliyowazoea waliokaa zaidi ya mwezi
Wakubwa
Huitaji kuwaosha zaidi ya mara moja

Kama utakuwa unahitaji utaweka order yako kwa kuwasiliana nasi kupitia namba yetu ya Whatsapp/Call/sms 0622723082

Wanapatikana kwa kilo na kwa ujazo wa magunia namaanisha kama utahitaji tukuuzie kwa kupima kilo au kwa ujazo wa gunia vyovyote utakavyopenda.

Bei kwa gunia la dumu 10 ni 230000

TUNAPATIKANA DODOMA NA MWANZA
 
Bei kwa gunia la debe 10 ni 230000

TUNAPATIKANA DODOMA NA MWANZA
 
Mkuu kuna dogo mmoja huko kwa mitandao anatrend kwa sababu ya kula dagaa eti zinaongeza Akili.
😂
Kwa kuanzia ungeanza na hiyo familia.
 
Kwa wale Wafanyabiashara wakubwa, wakati na wadogo tunayofuraha kuwatangazia upatikanaji wa dagaa safi kutoka Mwanza.

Sifa za dagaa ni
>Wasafi hawana mchanga
>Siyo wachachu kama uliyowazoea waliokaa zaidi ya mwezi
>Wakubwa
>Huitaji kuwaosha zaidi ya mara moja

Kama utakuwa unahitaji utaweka order yako kwa kuwasiliana nasi kupitia namba yetu ya Whatsapp/Call/sms 0653458190

Wanapatikana kwa kilo na kwa ujazo wa magunia namaanisha kama utahitaji tukuuzie kwa kupima kilo au kwa ujazo wa gunia vyovyote utakavyopenda.

Bei kwa kilo ni 5,500
Bei kwa debe ni 18000

TUNAPATIKANA DODOMA NA MWANZA
Mkuu mimi ni mmoja kati ya wapenzi wa dagaa kwa kuwa zinaongeza akili!! Ila sipendi ile midagaa yenye mchanga! Kuna dagaa wa bukoba ndo huwa nanunua, huwa wanaandika kabisa hawana mchanga na kweli hawana mchanga!! Kama kweli na wako hawana mchanga ebu nipe location ulipo kwa Dom nije kuchukua walau ka kilo kwanza ka kutest!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom