Tunaunda mashine za kutotoreshea mayai ya ndege mfano bata,kuku,kanga n.k
Pia kwa wanao hitaji mashine kubwa kwa ajili ya kutotoresha kwa kiwango kikubwa tunaunda kwa bei nafuu
Kwa ambao pia wanataka kugeuza vyimba vyao viwe mashine za kutotoresha tuatoa huduma hiyo.
0629068815
Karibuni