mwaswast JF-Expert Member Joined May 12, 2014 Posts 12,781 Reaction score 6,481 May 3, 2019 #41 Tunatumia pesa zetu kumuwekea magu mafuta ya escort vihecles badala ya kuwalipa waliostaafu mafao yao. Manze hata enzi za moi mafao yalilipwa walio staafu, tz hata sio ya 90s ni stone age...hawa wanahitaji tuwacolonize.
Tunatumia pesa zetu kumuwekea magu mafuta ya escort vihecles badala ya kuwalipa waliostaafu mafao yao. Manze hata enzi za moi mafao yalilipwa walio staafu, tz hata sio ya 90s ni stone age...hawa wanahitaji tuwacolonize.
BlietzKrieg JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 3,053 Reaction score 2,551 May 3, 2019 #42 Chamoto said: Economic terrorism. Ulishaangalia population vs size ya nchi yetu au unajongea tuu? Click to expand... Mko na economy sawa Na Nairobi ndio mnajipiga kifua hiviii
Chamoto said: Economic terrorism. Ulishaangalia population vs size ya nchi yetu au unajongea tuu? Click to expand... Mko na economy sawa Na Nairobi ndio mnajipiga kifua hiviii
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,657 Reaction score 197,311 May 3, 2019 #43 Inapendeza sana... Magari 73... Cc: mahondaw
mwaswast JF-Expert Member Joined May 12, 2014 Posts 12,781 Reaction score 6,481 May 3, 2019 #44 BlietzKrieg πππ wacha uchokozi ati wako na economy size ya Nairobi
J Janerose mzalendo JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 3,881 Reaction score 2,813 May 3, 2019 #45 black sniper said: Mji wao sio vumbi barabarani hata makoti yao pia Halafu harufu usiseme Click to expand... Hewa saaaafi just like arusha kwa sababu ya miti. Not like dar where there's risk of heat stroke.
black sniper said: Mji wao sio vumbi barabarani hata makoti yao pia Halafu harufu usiseme Click to expand... Hewa saaaafi just like arusha kwa sababu ya miti. Not like dar where there's risk of heat stroke.
Lwiva JF-Expert Member Joined Apr 17, 2015 Posts 22,801 Reaction score 32,693 May 7, 2019 #46 Tony254 said: Dah, naona umetupa kijembe hapo. Naona huamini kwamba Nairobi ni zulia la simiti. Tembea ujionee mengi. Click to expand... Monkey za Kenya zingeoza miguu Kwa funza
Tony254 said: Dah, naona umetupa kijembe hapo. Naona huamini kwamba Nairobi ni zulia la simiti. Tembea ujionee mengi. Click to expand... Monkey za Kenya zingeoza miguu Kwa funza
Lwiva JF-Expert Member Joined Apr 17, 2015 Posts 22,801 Reaction score 32,693 May 7, 2019 #47 Tony254 said: Yaani unalinganisha Tanzania na Kenya. Wacha kuvuta bangi kutoka Moshi. Kenya iko ligi nyingine. Click to expand... Labda ligi ya ushoga.hivi tony bado ujapata Mume wa kizungu huko uliko uje uwalingishie wakenya wa naii
Tony254 said: Yaani unalinganisha Tanzania na Kenya. Wacha kuvuta bangi kutoka Moshi. Kenya iko ligi nyingine. Click to expand... Labda ligi ya ushoga.hivi tony bado ujapata Mume wa kizungu huko uliko uje uwalingishie wakenya wa naii
Tony254 JF-Expert Member Joined May 11, 2017 Posts 16,016 Reaction score 16,439 May 7, 2019 #48 lwiva said: Labda ligi ya ushoga.hivi tony bado ujapata Mume wa kizungu huko uliko uje uwalingishie wakenya wa naii Click to expand... Unataka mzungu nikupe. Wako wengi tu
lwiva said: Labda ligi ya ushoga.hivi tony bado ujapata Mume wa kizungu huko uliko uje uwalingishie wakenya wa naii Click to expand... Unataka mzungu nikupe. Wako wengi tu
M Makwasa JF-Expert Member Joined Aug 28, 2018 Posts 301 Reaction score 182 May 7, 2019 #49 Hii ni ziara ya kikazi wizara zote lazima ziwepo ili wananchi wapate suluhisho matatizo yao. sasa ninyi wakenya pili pili msiokula yawawashia nini
Hii ni ziara ya kikazi wizara zote lazima ziwepo ili wananchi wapate suluhisho matatizo yao. sasa ninyi wakenya pili pili msiokula yawawashia nini