Tunatoa scholarships (ufadhili wa kimasomo)

Tunatoa scholarships (ufadhili wa kimasomo)

thejosec

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2010
Posts
345
Reaction score
24
Tunatoa scholarships (ufadhili wa kimasomo) kwa wale wanaopenda kwenda kusoma nje ya nchi, kama China, Japan na Korea kusini.
scholarships hivi ni kwa ngazi ya Phd, Masters, Bachelors na kozi za kusoma lugha(language programs)
kwa mawasiliano zaidi, fika ofisini kwetu mwananyamala kwa makoma Dar es salaam.
pia unaweza kutupigia simu kupitia number 0744 544443,+86 137 61325614 au tembelea tovuti yetu www.elimusolutions.co.tz.
 
Kuna matapeli sana kupitia hizi fursa za scholarships siku hizi! Hope nyie si miongoni mwao
 
Hawa ni matapeli..waseme kwamba wao nima'agent wakuunganisha na vyuo vya nje sio scholarship
 
Hawa ni matapeli..waseme kwamba wao nima'agent wakuunganisha na vyuo vya nje sio scholarship
hawa wana kutafutia scholarship alafu wewe uta walipa wao zile pesa za scholaship kwa kuwa hao wafadhili hawadai kitu, hivyo wao wana tumia fursa...
 
Mnatoa Schorships ? Halafu Ofice zipo wapi ? Mwananyamala kwa Makoma ! Dah ! THIS IS A CONTRADICTION.Huwezi kuwa na uwezo wa kuwapa watu schorlaships halafu ofice ziwe huko uchochoroni kwa Makoma.
 
Mnatoa Schorships ? Halafu Ofice zipo wapi ? Mwananyamala kwa Makoma ! Dah ! THIS IS A CONTRADICTION.Huwezi kuwa na uwezo wa kuwapa watu schorlaships halafu ofice ziwe huko uchochoroni kwa Makoma.
kama wangekuwa na uwezo wa kuwapa wanafunzi ufadhiri, wangeanza na hapa kwetu kwenye ada nafuu... sema wana taka kuingiza watu mkenge....

1.PNG
2.PNG
3.PNG
4.PNG
5.PNG
6.PNG
7.PNG
8.PNG
9.PNG
10.PNG
11.PNG
12.PNG
13.PNG
14.PNG
 
Back
Top Bottom