Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 9,231
- 10,468
Sticker za kwenye gari.Unataka Sticker za kuweka kwenye gari pia au Sticker za wapi Mkuu
Sticker za kwenye gari.Unataka Sticker za kuweka kwenye gari pia au Sticker za wapi Mkuu
Naomba ni save namba yako nitakucheki...!Hapa tayari iko printed kuwekwa kwenye tairiView attachment 2467278
Zikiwa za aina tofauti yofauti itapendeza ukinipa sample na bei zake...Sticker za kwenye gari.
Karibu tukuhudumie kwa picha za mapambo ya nyumba, ofisi n.k kwa size mbali mbali.Huduma zetu.
1. Picha Mbao
2. Picha za Fremu za Kioo
3. Picha Saa
4. T.Shirt na Kofia
5. Vipeperushi
6. Business Card
7. Mabango (Banners)
8. Calenda
Tunafanya na huduma ya Online LATRA Application (New and Renew)
Tunapatikana Mabibo - Dar es salaam.
0759 413 270.
Huduma zetu zinawafikia na Mikoani
Karibuni sanaaaa.
View attachment 2464891
Huduma bado ipoPicha Mbao
Bei
A4, sh 12,000/=
A3, sh 18,000/=
A2, sh 45,000/=
A1, sh 85,000/=
For your business, For home decor even for events!
Wasiliana nasi kwa namba 0759413270View attachment 2468668