Tunatoa Printing services (Huduma za Printing)

Tunatoa Printing services (Huduma za Printing)

Bemba

Senior Member
Joined
Jun 9, 2016
Posts
128
Reaction score
57
Huduma zetu.
1. Picha Mbao
2. Picha za Fremu za Kioo
3. Picha Saa
4. T.Shirt na Kofia
5. Vipeperushi
6. Business Card
7. Mabango (Banners)
8. Calenda

Tunafanya na huduma ya Online LATRA Application (New and Renew)

Tunapatikana Mabibo - Dar es salaam.
0759 413 270.
Huduma zetu zinawafikia na Mikoani

Karibuni sanaaaa.

IMG-20221228-WA0002.jpg
 
Printing ya T-shirts na Kofia bei inakuwaje mzee
 
Printing ya T-shirts na Kofia bei inakuwaje mzee
Habari! Pole kwakucheleweshewa majibu
Bei inategemea quantity na quality ya t-shirt na namna unavyo tamani muonekano wa t-shirt yako au kofia iwe.
Unaweza kuwasiliana nasi kwa maelezo zaidi kupitia namba yetu.
0759413270
 
Inahitajika Email si kuna vitu utataka i.e Logo & maneno ili ujue yako vipi then ufanye Rendering ili ujue kiasi gan. Anyway Ntakutafuta
 
Inahitajika Email si kuna vitu utataka i.e Logo & maneno ili ujue yako vipi then ufanye Rendering ili ujue kiasi gan. Anyway Ntakutafuta
Sawa. Ukinichek email utapata tu usijali!
 
Saa ya ukutani yenye picha bei gani mkuu ? Niliwahi kuona pia kuna za mkononi bei gani pia mkuu?
 
Saa ya ukutani yenye picha bei gani mkuu ? Niliwahi kuona pia kuna za mkononi bei gani pia mkuu?
Saa bei ndogo tu ni kuanzia 48,000/= kwa A3 ambayo ni ya ukutani yenye picha
Isiyokuwa na picha 35,000/= tu
 
Pia Wheel cover? Ni bei gani? Naweza kuona sample ya kazi zenu?
 
Saa tayari iko Printed na Picha
IMG-20221228-WA0002.jpg
 
Back
Top Bottom