Tunatoa huduma za ujenzi

Tunatoa huduma za ujenzi

KEBPN

Member
Joined
Sep 2, 2015
Posts
43
Reaction score
53
Mhandisi ujenzi Gideon, usajili namba 13098, na mmiliki wa kampuni ya Kabyex Engineering Company Limited. Tunatoa huduma za ujenzi kwa gharama nafuu

1. Ramani za ujenzi Structural and Architectural.
2. Usimamizi na ujenzi wa nyumba,barabara na n.k.
3. Makadirio ya gharama za ujenzi.
4. Vibari na Ushauri.


Kwa mawasiliano tucheki 0712 006246
E-mail :gkabyex@gmail.com.
Au tembelea ukurasa wetu instagram Kabyex engineering company ...

Karibu tukuhudumie. Pamoja tujenge ndoto zako...
 
Pia unaweza tutembelea facebook
 
moja ya kazi zetu @ Mbweni ikiendelea View attachment 1699912View attachment 1699911
FB_IMG_1612880040709.jpg
 
Naomba maeleza hizo nyumba za bei nafuuu

mfano nyumba ya vyumba vitatu kimoja master, na choo kimoja kijitegemee , stoo, jiko, sebule, na ukumbi w kulia, mna jenga kwa bei gani, kiwanja ni kizuri tu hakina mabonde, shukran
 
Naomba maeleza hizo nyumba za bei nafuuu

mfano nyumba ya vyumba vitatu kimoja master, na choo kimoja kijitegemee , stoo, jiko, sebule, na ukumbi w kulia, mna jenga kwa bei gani, kiwanja ni kizuri tu hakina mabonde, shukran
Gharama za ujenzi tunazigawa kwa phase 4,,
1.Founfation(Msingi)
2.Superstrucure(Kunyanyua kuta)
3.Roofing(Kuezeka)
4.Finishing(Umaliziaji)

Kukupa gharama paka tuone michoro ili tujue details za nyumba...
Kwa maelezo zaidi tuwasiliane
 
Nyumba hii tumefanya kila kitu kuanzia michoro paka ilipofika hapa..tukiwa tumemaliza zoezi la kuweka Grill na zimeghalimu 2.6 M tu madirisha 22..
IMG_20210216_205441_691.jpg
 
Nirekebishe nin...Tuwasiliane nakupereka kesho site ukajionee na nitakupereka carakana yangu ninapofanyia welding works...Sio uongo wala utani
 
Nyumba hii nyinyi ndio mlichora ramani au nyie mnashughulika na grills tu, mbona hayo madirisha hamkuyaweka kwa line moja?View attachment 1705872
View attachment 1705874
Kila kitu kimefanywa na sisi paka ilipofika hapo....Ramani,Vibari vya ujenzi, Ujenzi wote paka ilipofika hapo...Paka sasa tumeishia kwenye Grills na sio muda tutaingia kwenye skimming...
Kwa. maelezo zaidi tuwasiliane ,Nitakupereka paka Mbweni site...
 
2.6 M serious au umekosea mkuu?
Mkuu mim ndio nasimamia hiyo nyumba ma mimi ndie nimechora...Nimetumia 2.6 tu kwenye Grill na nimemaliza kuzifix juma4 ya jana tu...Tuwasiliane kama upo Dar es salaam nitakupereka site na kwa kalakana yangu...
 
Kila kazi tukimaliza huwa tunatuma report kwa mteja ,,,Mfano hii ni report ya Grill na blandering tuliofanya kwenye ghorofa moja Mbweni...Picha nilituma kwenye post yangu ya Grill iliyopita...Karibu tukuhudumie kitaalamu
20210220_200015.jpg
 
Back
Top Bottom