‘GININGI MOJA BEI RAHISI STATIONARY’
PATA HUDUMA ZIFUATAZO KWA BEI CHEE KABISA:-
- PRINTING - Black and White 200/=
- Za rangi- 300/=
- TUNAPRINT BUSINESS CARDS – 100 KWA SHILINGI 15000/= TU
- INTERNET - 300 (Dakika 10)
500-(NUSU SAA) na
800- (saa 1)
- LAMINATION - 1000/= A4
- 500/=A5
- BINDING ZA VITABU NA PAMFLETS MBALI MBALI
- PHOTOCOPIES - Black and white- 50
- Za rangi (colored) – 200
OFA MAALUM KWA SHULE:
photocopies
- KOPIES KUANZIA pages 500 BEI (Bei 30 Tsh lakini tunafuata na kuleta kazi hadi kwako)
- Kopies Kuanzia pages 200 na kuendelea hadi 500 (Bei 30 Tsh lakini unakuja ofisini)
printing
- Printing Kuanzia pages 300 (Bei 100 lakini tunafuata kazi hadi kwako na tunakuletea ikikamilika)
- Printing kuanzia pages 50 hadi 299 (Bei 100 lakini unakuja ofisini kwetu)
Faida nyingine:
PASSPORT SIZE
- -Kuanzia watu 5 (Bei 1500 kwa picha 8 hadi 11- tunawafuata mlipo na kuwapiga picha)
- -Kuanzia watu/wanafunzi wawili hadi 4 (Bei 1500 wanakuja ofisi kwetu)
Tunakutangaza bure katika ukurasa wetu wa fb wa Giningi Buza @facebook.com
Na pia tunakutangaza katika magroup ya watsap
- PIA TUNASAFISHA:-
- PICHA ZA KWENYE SIMU – BEI TSH. 500/=
- TUNAPIGA NA KUKUZA PICHA ZA ZAMANI – 1000/= (5x7)
- TUNAPIGA NA KUWEKA FREMU PICHA UKUBWA MBALI MBALI
- A 4, A2, 5 X7, N.K KWA BEI NAFUU KULINGANA NA UKUBWA WA FREMU
- VITABU
- PATA VITABU VYA SHULE NGAZI MBALI MBALI
- - SECONDARY, PRIMARY, NURSERY.
- PIA PATA MATERIALS YA SECONDARY NA PRIMARY
-PAST PEPARS, PAMPHLETS, TUFE ZA KUSOMEA GEOGRAPHY, N.K
MABANGO
- TUNATENGENEZA NA KUCHAPA MABANGO NA MATANGAZO MBALIMBALI YA YA BIASHARA, VITAMBULISHO, BROSHURES, FLYERS, NA VIPEPERUSHI MBALI MBALI.
- TUNAPRINT- T SHIRTS, JEZI, LESO NAKADHALIKA
- TUTION
- TUNAFUNDISHA ‘TUTION’ PROGRAM MBALI MBALI ZA COMPUTER
- TUNAFUNDISHA ‘TUTION’ ZA PROGRAM ZA DESIGNING
- -MS PUBLISHERS, PHOTOSHOP,
- -ILLUSTRATOR, CORAL DRAW,
- -INDESIGN NA ADOBE PAGE MAKER
- TUNAFUNDISHA ‘TUTION’ JINSI YA KUTUMIA “INTERNET”
TUNATENGENEZA
KOMPYUTA
PRINTERS
PHOTOCOPIES MASHINE
FUNDI UMEME PIA YUPO
WAPI?- MAHALI NI BUZA KANISANI.
-TUPO KATIKATI YA BUZA KANISANI NA TANESCO- OFISI IPO OPPOSITE (MKABALA-TUNATIZAMANA) NA SHULE YA MSINGI BRAIN TRUST (KWA MAKINDA)
WASILIANA NASI AU TUTAFUTE KATIKA:
SIMU:
0719 807 755
0765759157
0752769370
0679946 164
Au tuma barua pepe
kwenda-giningimoja@gmail.com
au follow instagram page yetu- giningimoja@instagram
na facebook: giningi buza@facebook