Folota Rubber Stamp
Senior Member
- Feb 21, 2018
- 150
- 101
1. Utengenezaji wa Mihuri
2. Uuzaji wa vifaa vya mihuri aina zote
3. Matengenezo/Marekebisho ya mihuri iliyotengenezwa.
4. Ushauri wa bure kwa wateja wetu.
Hama huu Bei gani?
Hama huu Bei gani?
Akikujibu nijulishe
Kwa wakazi wa Dodoma unaletewa popote ndani ya viunga vyote vya mji, kwa mikoani tunatuma kwa basi gharama za usafiri atagharamia mteja.
Sio utaratibu wa kuletewa, ni ili mnitengenezee muhuri natakiwa kuwa na vielelezo gani? Kwa mfano ukiambiwa process za kupata TIN toka TRA ni zipi.Kwa wakazi wa Dodoma unaletewa popote ndani ya viunga vyote vya mji, kwa mikoani tunatuma kwa basi gharama za usafiri atagharamia mteja.
Unatakiwa kuwa na jina au mchoro unaotaka uwepo kwenye muhuri, hivyo tu.Sio utaratibu wa kuletewa, ni ili mnitengenezee muhuri natakiwa kuwa na vielelezo gani? Kwa mfano ukiambiwa process za kupata TIN toka TRA ni zipi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka namba yako ya simu kama ina whatapp. je inachukua muda muda gani kuwa tayari!Ukihitaji ya self ink bei ni kuanzia 40000 na kuendelea, itategemea na michoro kama ipo.
View attachment 1010071
Ukihitaji handles za mbao bei ni kuanzia 25000/= mpaka 35000/= kulingana na michoro iliyopo [ukichukua huu itabidi ununue na stamp pad kwa ajili ya wino]
View attachment 1010072View attachment 1010073
Karibu tukuhudumie.
Sawa mkuu nimekuelewa naweka samples mbambali hapo juu zipo kwenye PDF utaangalia muundo unaoupenda kisha utaandika maandishi yako pembeni kwenye karatasi kulingana na shape unayotaka kila sample ina namba yake kwa hiyo utanitumia kwa whatsapp au email hayo maandishi kwenye karatasi na aina ya shape kwenye hizo sample nitakazo weka hapo juu,Sio utaratibu wa kuletewa, ni ili mnitengenezee muhuri natakiwa kuwa na vielelezo gani? Kwa mfano ukiambiwa process za kupata TIN toka TRA ni zipi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Namba ya simu,Weka namba yako ya simu kama ina whatapp. je inachukua muda muda gani kuwa tayari!
Hujamuelewa vizuri muuliza swali, ingawa pia swali lake ni la "kijuaji" zaidi..umeambiwa basi linakwenda Iringa kutoka Dodoma kila siku saa 5 asubuhi, nauli ni Tshs. 12,000/=, wewe unaanza kuuliza natakiwa kuja na nini hapo stendi ili nistahili kupanda basi hilo? Huu ni ujuaji usio na maana, wewe nenda na Tshs. 12,000/= na begi lako usafiri...Sawa mkuu nimekuelewa naweka samples mbambali hapo juu zipo kwenye PDF utaangalia muundo unaoupenda kisha utaandika maandishi yako pembeni kwenye karatasi kulingana na shape unayotaka kila sample ina namba yake kwa hiyo utanitumia kwa whatsapp au email hayo maandishi kwenye karatasi na aina ya shape kwenye hizo sample nitakazo weka hapo juu,
mfano kwenye hii picha hapa chini unaweza kuchagua i2 basi nitajua umependa style hiyo ya maandashi na format ntatengeneza kama huo ila kwa maandishi yako, pia kabla sijatengeneza naweza kukutumia uone utakavokua ndio niendelee ukiridhika.
View attachment 1010145
Karibu tukuhudumie.
simu yako 0762 haiko hewani via whaatappNamba ya simu,
Email address
Zipo hapo juu kiongozi.
Muda ni ndani ya dk 40 unakua umekamilika.
Nimerudia kusoma swali lake, amejaribu kuweka mtego, sijajua vielelezo gani anakusudia, inawezekana yupo kwenye hii field pia labda anajaribu challenge tu.Hujamuelewa vizuri muuliza swali, ingawa pia swali lake ni la "kijuaji" zaidi..umeambiwa basi linakwenda Iringa kutoka Dodoma kila siku saa 5 asubuhi, nauli ni Tshs. 12,000/=, wewe unaanza kuuliza natakiwa kuja na nini hapo stendi ili nistahili kupanda basi hilo? Huu ni ujuaji usio na maana, wewe nenda na Tshs. 12,000/= na begi lako usafiri...