Tunatoa huduma bure.. Karibuni

Ahsante hiyo huduma mimi siitaki labda aje mshana jr
 
Last edited by a moderator:
​kweli bora ubaki na meno mabovu duh hii huduma balaa
 
Hahahaaaaa! hatari sana hiyo huduma kiboko tuwaashe watoane wao kwa wao
 
Hahaha bora Yang'ooke yenyewe kuliko hiyo huduma
 
kweli huduma zina zidi kuongezeka,ukiachia ile ya kung'oa kucha na macho bila ganzi sasa hii ya meno kwa tindo +nyundo jiwe
 
Hawa maustaadh wana hatari..
hakuna hatari yyt mkuu, haina tofauti na kule kwetu nyanchabha kenye,gamasara buhemba nyamongo ochuna na pale kuruya. tuna sema tacho umahe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…