Swahibastationery
Member
- Apr 16, 2014
- 10
- 2
- Thread starter
- #21
nakuja leta kazi zangu za typing ila nifanyie kwa specil price nataka nije tena kila inapoitwa leo
sidhani kama utaniangusha
swahiba the best ever
hongereni
thanks.siwezi hata kidogo
nakuja leta kazi zangu za typing ila nifanyie kwa specil price nataka nije tena kila inapoitwa leo
sidhani kama utaniangusha
swahiba the best ever
hongereni
Wenzako Survey wanaprint kwa sh 50 na kutoa duplicate kwa 25/=
hao wa survey wapo eneo gani hapo survey?nielekeze mkuu nipeleke kazi
Ukitokea maeneo ya mlimani city kuna kakituo ka msaada kanaitwa container next baada ya kituo cha survey ukiingia na hako kabara bara kakuelekea Survey Motel stationary zipo zaidi ya ishirini almost bei zao ni sh 50 kuprint...binafsi nimeprint vitabu venye kurasa si chini ya 250 mara kibao kwa reasonable cost tu...
0715811747. Nipo njia panda ya segerea
Wenzako Survey wanaprint kwa sh 50 na kutoa duplicate kwa 25/=
Mkuu hzo tabia sizo, jamaa kaweka uzi wake kua anafanya business na bei kaweka den we unakuja kuweka business ya mwngne hivi unategemea nn labda..!! Mbna survey bei yao kubwa sana nao, kuna stationary moja mabibo hostel n bei cheee lakn siwez kuitaja coz sio uzi wake huu..!! Heb tubadiliken wana jf..!! Na inawezkana umefanya kazi isiyo na ujira coz hyo stationary may be sio yako so umemtangazia business bila ya maelwano ya kukulipa.!! Nadhan tumeelewana..!! Heb tuwen magreat thinker. .!!
Peace and love ✌✌✌. Thanks
Natafuta kijana wa kuoa!
Natafuta kijana wa kuoa!
Anzisha uzi wako utapata