Sitta Electronics
Member
- Aug 15, 2018
- 21
- 11
- Thread starter
- #21
Hiyo sina mkuu.Mkuu Nataka Thyristor 2N6399
Hiyo sina mkuu.Mkuu Nataka Thyristor 2N6399
una catalog mzee ya parts ulizonazo ?Hiyo sina mkuu.
Kwa sasa nasupply power transistor 2SC5200, 2SA1943 mtumba original ila soon nitaanza pia kusupply components zingine ikiwemo universal card za amplifier na busta za muziki, heat protection kwa ajili ya busta, amplifier na power mixer, tone control, pre amp, low pass na vitu kadha wa kadha unaweza kujoin kwenye group letu whatsapp ili iwe rahisi kwako kupata update ya kazi zetu na bidhaa zetu kupitia link hiiuna catalog mzee ya parts ulizonazo ?
zakayohabeliKwa sasa nasupply power transistor 2SC5200, 2SA1943 mtumba original ila soon nitaanza pia kusupply components zingine ikiwemo universal card za amplifier na busta za muziki, heat protection kwa ajili ya busta, amplifier na power mixer, tone control, pre amp, low pass na vitu kadha wa kadha unaweza kujoin kwenye group letu whatsapp ili iwe rahisi kwako kupata update ya kazi zetu na bidhaa zetu kupitia link hii
![]()
Kwa sasa nasupply power transistor 2SC5200, 2SA1943 mtumba original ila soon nitaanza pia kusupply components zingine ikiwemo universal card za amplifier na busta za muziki, heat protection kwa ajili ya busta, amplifier na power mixer, tone control, pre amp, low pass na vitu kadha wa kadha unaweza kujoin kwenye group langu whatsapp ili iwe rahisi kwako kupata update ya kazi zangu na bidhaa zangu kupitia link hiiWeka catalog, nataka kuwafundisha wanangu electronics mapema
Imetolewa na Sitta Electronics msambazaji wa power transistor 2SC5200, 2SA1943 mtumba original, napatikana Goba-Dar es salaam na Bagamoyo-pwani.
Mawasiliano 0766102710 Call/sms/whatsappView attachment 2595789
Ndio ni mtumba.Transistors za mtumba ??!!
Ndio ni mtumba.
breadboard kwa sasa sina, kuhusu power transistor 2SC5200, 2SA1943 ni kama unavyoziona hapo kwenye picha.Transistor inakuaje mtumba??
Halafu unazo breadboards ??
breadboard kwa sasa sina, kuhusu power transistor 2SC5200, 2SA1943 ni kama unavyoziona hapo kwenye picha.View attachment 2595935View attachment 2595941View attachment 2595943
Ok, nimekupata maana ya mtumba ni bidhaa used kutoka nje ndio maana nimekutumia picha ya hizo transistor ili uone zilivyo.Mkuu mimi nazijua transistors, ila labda hujaelewa swali langu, au nikuulize kivingine; Transistor ya "mtumba" ipoje au kwanini imeitwa hivyo??
Ok, nimekupata maana ya mtumba ni bidhaa used kutoka nje ndio maana nimekutumia picha ya hizo transistor ili uone zilivyo.
[emoji120][emoji120]Ahsante kwa elimu...