Big dady 11
JF-Expert Member
- May 21, 2023
- 278
- 279
Shukrani boss.. ila kabla ya kupga hesabu ni ngependa kujua unataka shelves za mbao tupu au zenye mbao na kioo?Hongera Kwa Kazi nzuri.Naomba hesabu ya Pharmacy Kwa Mbele kama ifuatavyo.
1.Urefu unaotazama Barabara ni meta 5
2.Upana ni meta 3
Pana Mlango wa meta 1 unaotengq Chumba cha Mbele na Store
Store ina urefu meta 5 na Upana meta 2
Kimo ni Futi 10
Boss kwa mchanganua wa haraka harakaMbao na Kioo pls
Milion 4 na nusu boss.. shelves pande zote 3.. meza ya mapokezi(reception table)Full kila kitu kwa 4.5mMbao na Kioo pls
Sawa boss wangu 🙏Nitasave hii number soon mkuu
Sawa boss