Jibebe Inc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 962
- 181
- Thread starter
- #41
Pia tunatoa huduma yakusajiri Domain pamoja na Kuhost Website kwa Gharama ya Kuanzia TZS 4,000/= Kwa Mwezi Wasiliana nasi sasa.
Asante Sana Mkuu, Karibu PiaUko vizuri
Kama mteja napenda kufahamu hio ssl certificate ni nini. Inafanya kazi vipi, kwa nini naihitaji kwenye website yangu?NOTE: Gharama zinajumuisha
*Free .co.tz Domain for 1 Year
*Free Hosting for 6 Month
*Free SSL Certificate
*15 Business Email
*Full access cPanel
*Free Support etc.
Kama mteja napenda kufahamu hio ssl certificate ni nini. Inafanya kazi vipi, kwa nini naihitaji kwenye website yangu?
Naomba unielimishe.