SSL Certificate ni cheti cha kieletroniki chenye taarifa muhimu zinazohusiana na Kampuni au mtu. Pindi funguo zenye taarifa ya cheti hiki zinapofungwa kwenye seva, basi husababisha browser kuonesha alama ya kufuri likimaanisha kuwa mawasiliano yote kati ya seva na browser yatapita kwenye njia salama. Mara nyingi, mtindo huu hutumika sana kulinda taarifa muhimu kama kwenye mabenki, manunuzi ya online na sehemu yoyote online inayopokea taarifa muhimu za mtumiaji.
Kwa siku za karibuni, tumeona ongezeko la matumizi ya SSL Certificates hata kwenye websites za kawaida ambazo hazipokei taarifa za watumiaji. Hii ni kwa sababu, mtandao wa utafutaji wa taarifa za mtandaoni (Google Search Engine) wameweka SSl certificate kama moja ya vigezo vyake katika upangaji wa utafutaji wa taarifa, hivyo watu wengi wameamua kutumia fursa ili kujiweka katika nafasi nzuri ya upatikanaji kwenye mitandao (online visibility).
Kwanini unahitaji SSL Certificate kwa Website ya biashara yako
Ukiacha sababu za kuongeza daraja la website kwenye mitandao ya utafutaji, SSl Certificate ikakusaidia;
Kuongeza usalama wa taarifa kati ya mtumiaji na seva
Je? Unamiliki biashara ya aina yoyote na ulikuwa unahitaji kufikia wateja wengi, kujitangaza pia kuuza bidhaa zako kupitia njia ya kidigitali. Wasiliana nasi Leo tutakutengenezea website kwa gharama nafuu ya Tsh; 200,000/=.
OFFA: Pata 50% OFF kwenye huduma zetu za Web hosting, Domain, Web Design & Development and Products & Business Software / System. Contact Us | +255.711414246
Pia tunatengeneza mifumo mbalimbali ya Computer kwa ajili ya Makampuni, Mashirika, Taasis na Biashara mbalimbali kwa gharama nafuu wasiliana nasi sasa +255.711414246
Tunatengeneza website zenye mwonekano wa kisasa pamoja na kuhost kwa bei nafuu. Website zetuzinanyumbulika(responsive), zinafikika(Search Engine Optimzation(SEO) na Social Media Integration(SMI)) na pia tunakutengenezea pamoja na brands ya kukufanya kuwa na nguvu mtandaoni. Wasiliana nasi kwa namba: 0711414246 au 0621454246
Tunatengeneza mifumo mbalimbali ya Computer kwa ajili ya Makampuni, Mashirika, Taasis na Biashara mbalimbali kwa gharama nafuu wasiliana nasi sasa 0711414246 au 0621454246
Tumetoa punguzo la bei hadi 50%, kutoka 400,000/= paka 200,000/=. Hili kila mfanyabiashara aweze kumiliki biashara yake kisasa zaidi, kwa Kiribati website ya kisasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.