Tunatengeneza mashine za Chaki

Biashara2000

JF-Expert Member
Nov 9, 2013
645
542
Mashine za kutengeneza chaki zinapatikana. Ni mpya tunatengeneza za manual

1. Tsh. Million 1.2

Mashine hii ni ya manual. Hii uzao ni chaki 2000 kwa saa Na ina matundu 400

IMG-20180221-WA0000.jpg

2. Tsh. 600,000

Hii ina matundu 200 na inakupa pisi 1200 za chaki

3 Tsh. 200,000

Hii ina matundu 40 na inakupa chaki pisi 240 kwa saa

Zamani tulikuwa tunatengeneza za manual za 160000 na 300000 zile kwasasa hatutengenezi tena

Box la chaki lina chaki 100 au 50 kutegemeana na soko lako

Training unapata. Wa mikoani mnatumiwa.kwa kwa basi piga simu 0758 30 81 93

:
 
Mashine za kutengeneza chaki zinapatikana. Ni mpya tunatengeneza. Zipo za idadi ya matundu tofauti tofauti.

Uzalishaji

Kwa sasa zipo model kadhaa katika production. Lakini iliyoko tayari ni mashine yenye matundu 100 kwa maana kuwa unapata chaki 100 kila baada ya dk 15 hivyo kwa SAA mzima utapata chaki 400. Kwa masaa 12 utapata chaki 4800 ambayo ni paketi 48 kwa siku ambapo km ukiuza sh 1,500 kwa jimla utapata sh 72,000 kwa siku. Gharama ya uzalishaji ni 16000

Bei 350,000 haipungui. Training unapata. Wa mikoani mnatumiwa.kwa kwa basi piga simu 0758 30 81 93
Hivi material ya kutengenezea chaki yanapatikana wapi na kwa bei zipi na yanaitwaje?
 
Mkuu tunaomba ufunguke zaidi ili nasi tupate elimu ya ujasiriamali, kama wadau walivyoeleza hapo juu kuhusu vifungashio na raw materials za kutengenezea chaki
 
Ok raw material ambayo inatumika kutengeneza chaki za tanzania ni Chokaa hii ya kawaida. ndio raw material kuu. Lakini kuna material zingine chache za kuchanganyia km unahitaji aina maalum ya chaki.

Mashine zipo za aina 2 ambazo zinakupa chaki sawa sawa zote. zinatofautiana bei kulingana na material iliotumika kutengenezea mashine hizi. Kuna ya 350,000 na ya 150,000 ambazo zinakupa chaki km mchanganuo hapo juu unavyoeleza na zipo maeneo ya kibaha

Unapewa warranty ya mwaka
 
Nimefanya update katika mashine tunazotengeneza. Kwasasa tunatengeneza za umeme tu. kwa sasa ndio tuko tunatengeneza hizo za umeme na picha tutaweka muda si mrefu. Hizo video ni kwa ajili ya presentation jinsi inavyofanya kazi. Zikiwepo katika stock ndio unakuja kununua. utaratibu wa kuweka oda haupo. Unakuja ofisini Dar unazikuta mashine ndio unanunua
 
Ok raw material ambayo inatumika kutengeneza chaki za tanzania ni Chokaa hii ya kawaida. ndio raw material kuu. Lakini kuna material zingine chache za kuchanganyia km unahitaji aina maalum ya chaki.

Mashine zipo za aina 2 ambazo zinakupa chaki sawa sawa zote. zinatofautiana bei kulingana na material iliotumika kutengenezea mashine hizi. Kuna ya 350,000 na ya 150,000 ambazo zinakupa chaki km mchanganuo hapo juu unavyoeleza na zipo maeneo ya kibaha

Unapewa warranty ya mwaka
Salamu mkuu. Bado unazo hizi mashine?
 
Back
Top Bottom