Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,399
Ndio maana mimi napenda kusema Rais ajaye lazima awe amesoma shule za kata huyu ndiye anajua machungu ya watanzania na lazima awe amesoma vyuo vya hapahapa bongo anajua machungu ya bodi ya mikopo, migomo ya vyuoni, ujinga unaoendeshwa na baadhi ya wahadhiri kuchelewesha watu kupata shahada za Uzamivu. MTAZAMO WA KIZALENDO
halafu dogo unapenda kujipa promo za kijinga sana aisee....Ndio maana mimi napenda kusema Rais ajaye lazima awe amesoma shule za kata huyu ndiye anajua machungu ya watanzania na lazima awe amesoma vyuo vya hapahapa bongo anajua machungu ya bodi ya mikopo, migomo ya vyuoni, ujinga unaoendeshwa na baadhi ya wahadhiri kuchelewesha watu kupata shahada za Uzamivu. MTAZAMO WA KIZALENDO
hapo red tu ndo nilikuona unaa akili sana, ungechelewa wiki tu ungefukuzwa kwa bakora kabisa tofauti na wenzio....kaka MOLEMO wapiga kura walio wengi wamesoma shule za kata fanya upembuzi yakinifu, halafu umesahau mimi CDM si kufukuzwa nilijivua uanachama kwa maana mna poka demokrasia.
mkuu Molemo embu rudi hapa utoe ufafanuzi tafadhali....kaka MOLEMO wapiga kura walio wengi wamesoma shule za kata fanya upembuzi yakinifu, halafu umesahau mimi CDM si kufukuzwa nilijivua uanachama kwa maana mna poka demokrasia.
kaka MOLEMO wapiga kura walio wengi wamesoma shule za kata fanya upembuzi yakinifu, halafu umesahau mimi CDM si kufukuzwa nilijivua uanachama kwa maana mna poka demokrasia.
kaka MOLEMO wapiga kura walio wengi wamesoma shule za kata fanya upembuzi yakinifu, halafu umesahau mimi CDM si kufukuzwa nilijivua uanachama kwa maana mna poka demokrasia.
Ndio maana mimi napenda kusema Rais ajaye lazima awe amesoma shule za kata huyu ndiye anajua machungu ya watanzania na lazima awe amesoma vyuo vya hapahapa bongo anajua machungu ya bodi ya mikopo, migomo ya vyuoni, ujinga unaoendeshwa na baadhi ya wahadhiri kuchelewesha watu kupata shahada za Uzamivu. MTAZAMO WA KIZALENDO
ndugu yangu ujinga ni kilema, mwenzetu amepata kilema tusimcheke, hakupenda aumbwe hivyoMuda mwingine ujinga huwa sehemu ya maumbile. Sijaona cha kujadili hapo