Tunataka Maji Yatoke

Tunataka Maji Yatoke

Songambele

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2007
Posts
4,717
Reaction score
2,594
Takribani wiki mbili sasa sie wakazi wa Dar mmetunyoosha kwa kutukatia maji. Timeaikoa sababu zenu na jitihada mnazochukua lakini haturidhishwi kabisa na Kasi yenu.

Mnatufikirisha Sana, mpaka tumemkumbuka mwenda zake jiwe, kuna alikuwa anaamua kama kiongozi. Wenzie aliotuachia yapo hawakujifunza kutoka kwakwe.

Hili Jiji sasa tumekuwa wengi mno na maji ni biashara sababu hawatupi Bure tunayalipia na kibaya zaidi mtoa huduma ni mmoja na hajali kabisa jinsi anavyoshindwa kufanya mauzo na huduma amewaachia wanasiasa ndio wawajibie kwanini maji hayatoki DSM.

Sababu za mabadiliko ya tabia nchi mie binafsi na wananzengo wenzangu tumezikataa na wala hatutaki kusikia, tena wanao tamka tunawaheshimu tu.

Jamani hivi hakuna namna tunaweza leta kunji kudai maji hapa jijina DSM na joto hili, tulijichimbia visima wakatuletea mpaka mamlaka za kudhiniti visima, hapo awali na wakatuhakikishia issue ya Maji tu wamemaliza. Mwendazake vyovyote vile angesema kitu. Ruvu imekauka sawa je rufiji nayo, wami je. Kama maji yametoka Mwanza mpaka Tabora, mnatuongezea gharama za kuishi DSM tuliwalalamikia katika Tozo huku kwenye maji dumu limefika 1000 na kulipata kwa mbinde.
Sio sisi tunashindwa kuoga tu hata serikali inakosa mapato mengi kwa kushindwa kutoka huduma.
Tunataka Maji Yatoke DSM haraka Sana, na sio politike. Naona mnatamani na kipindupindu kirudi DSM watu wapige pesa za dharura. Mnatupeleka mbele hatua Moja mnaturudisha hatua mbili nyuma.
 
Hatari sana.

Hii nchi utazani watawala sio watanzania wenzetu. Maana wao wanalamba asali huku sisi hatuna hata maji ya kuoga.
 
Tumekubali mgao lakini hata hio siku mgao bado hayatoki wakikaa mbela ya kamera majigambo kibao yule waziri wa maji nae maneno mengi kumbe hamna kitu rais nae anakubali kudanganywa
 
Inafikirisha sana, utadhani hio ruvu ilianza kukauka ghafla. Shida viongozi hawana plan ya kukabiliana na tatizo ni kureact tu linapotokea. Wakati kina kinapungua na utabili unaonyesha mvua ni kidogo walifanya nini au ndio business as usually?? Waje wapate political platform tu na hawana hata mipango SHWAINI
 
yapata mwezi sasa huku kwetu,tushalalamika mpk tunajionea sawa tu
 
Watakuja 2025. Nichagueni nimalize shida ya maji as if hii nchi tangu ipate Uhuru ilikuwa chini ya wapinzani.
 
Takribani wiki mbili sasa sie wakazi wa Dar mmetunyoosha kwa kutukatia maji. Timeaikoa sababu zenu na jitihada mnazochukua lakini haturidhishwi kabisa na Kasi yenu.

Mnatufikirisha Sana, mpaka tumemkumbuka mwenda zake jiwe, kuna alikuwa anaamua kama kiongozi. Wenzie aliotuachia yapo hawakujifunza kutoka kwakwe.

Hili Jiji sasa tumekuwa wengi mno na maji ni biashara sababu hawatupi Bure tunayalipia na kibaya zaidi mtoa huduma ni mmoja na hajali kabisa jinsi anavyoshindwa kufanya mauzo na huduma amewaachia wanasiasa ndio wawajibie kwanini maji hayatoki DSM.

Sababu za mabadiliko ya tabia nchi mie binafsi na wananzengo wenzangu tumezikataa na wala hatutaki kusikia, tena wanao tamka tunawaheshimu tu.

Jamani hivi hakuna namna tunaweza leta kunji kudai maji hapa jijina DSM na joto hili, tulijichimbia visima wakatuletea mpaka mamlaka za kudhiniti visima, hapo awali na wakatuhakikishia issue ya Maji tu wamemaliza. Mwendazake vyovyote vile angesema kitu. Ruvu imekauka sawa je rufiji nayo, wami je. Kama maji yametoka Mwanza mpaka Tabora, mnatuongezea gharama za kuishi DSM tuliwalalamikia katika Tozo huku kwenye maji dumu limefika 1000 na kulipata kwa mbinde.
Sio sisi tunashindwa kuoga tu hata serikali inakosa mapato mengi kwa kushindwa kutoka huduma.
Tunataka Maji Yatoke DSM haraka Sana, na sio politike. Naona mnatamani na kipindupindu kirudi DSM watu wapige pesa za dharura. Mnatupeleka mbele hatua Moja mnaturudisha hatua mbili nyuma.
Kuongea peke haitosho itabidi nguvu ya ziada itumike kama itaitajika
 
Asilimia inayofikiwa na maji Safi na salama ni ilisemekana “single digit “ na pamoja na udogo huo lakini bado uhakika wa kupata huduma ya Maji Kwa mwaka mzima hakuna

Inaudhi !
 
Hivi je accessibility ya Maji ingekuwa walau 50% ya nchi nzima kupata Maji safi na salama ingekuwaje ?

Sipati picha mie!
 
WATU WA DAR WANAJIFANYAGA WAJANJA KUMBE HAKUNA KITU KABISAA.NENDENI IKULU MKAOGE MSITUSUMBUE.
 
Tangu waziri mkuu azindue maji Kigamboni na kusema yafike mpaka Ubungo,mpaka leo kimya na kuna watu wanaenda kazini na kurudi home....... Ubungo yote maji ni kilio,dumu ni 1000-2000 fresh na chumvi 500-700
 
Takribani wiki mbili sasa sie wakazi wa Dar mmetunyoosha kwa kutukatia maji. Timeaikoa sababu zenu na jitihada mnazochukua lakini haturidhishwi kabisa na Kasi yenu.

Mnatufikirisha Sana, mpaka tumemkumbuka mwenda zake jiwe, kuna alikuwa anaamua kama kiongozi. Wenzie aliotuachia yapo hawakujifunza kutoka kwakwe.

Hili Jiji sasa tumekuwa wengi mno na maji ni biashara sababu hawatupi Bure tunayalipia na kibaya zaidi mtoa huduma ni mmoja na hajali kabisa jinsi anavyoshindwa kufanya mauzo na huduma amewaachia wanasiasa ndio wawajibie kwanini maji hayatoki DSM.

Sababu za mabadiliko ya tabia nchi mie binafsi na wananzengo wenzangu tumezikataa na wala hatutaki kusikia, tena wanao tamka tunawaheshimu tu.

Jamani hivi hakuna namna tunaweza leta kunji kudai maji hapa jijina DSM na joto hili, tulijichimbia visima wakatuletea mpaka mamlaka za kudhiniti visima, hapo awali na wakatuhakikishia issue ya Maji tu wamemaliza. Mwendazake vyovyote vile angesema kitu. Ruvu imekauka sawa je rufiji nayo, wami je. Kama maji yametoka Mwanza mpaka Tabora, mnatuongezea gharama za kuishi DSM tuliwalalamikia katika Tozo huku kwenye maji dumu limefika 1000 na kulipata kwa mbinde.
Sio sisi tunashindwa kuoga tu hata serikali inakosa mapato mengi kwa kushindwa kutoka huduma.
Tunataka Maji Yatoke DSM haraka Sana, na sio politike. Naona mnatamani na kipindupindu kirudi DSM watu wapige pesa za dharura. Mnatupeleka mbele hatua Moja mnaturudisha hatua mbili nyuma.
Hii nchi ishakuwa ya hovyo asee
 
Back
Top Bottom