acontinuer
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 241
- 256
Hakunaga huo utaratibuVipi kuhusu mahitaji muhimu kama malazi, chakula, hela ya nauli, nk. Ni kujitegemea, au mna utaratibu maalum? Maana sisi wengine tuko Mikoani.
Na lengo la hilo kundi lenu ni kurusha vipindi vyenu kwenye kituo cha luninga, au ni kwa ajili ya kuelimisha tu kwenye makongamano?
... mlikosa kabisa jina linaloendana na mazingra yetu? Lisilo la kibeberu? Why not choose equivalent names like "dodo"; "chungwa"; "dafu"; "embe"; "nanasi"; etc?APPLE ARTISTS GROUP[emoji327]
Huna majibu yenye PR.Hakunaga huo utaratibu
Jitegemee vyote...
Huoni aliyejibu ana id tofauti na muanzisha uzi. Watakua watu wawili tofauti.Huna majibu yenye PR.
Ningekuwa mm ningejibu hivi;
"Kwa sasa hatuna utaratibu huo, ingawa kwa baadae ikiwa itafaa tutaweka utaratibu huo ili kusaidia wasanii wachanga na wenye mahitaji maalum. Asante"
Tulikosa kwa sababu kuanzia camera lights zote wametengeneza mabeberu... mlikosa kabisa jina linaloendana na mazingra yetu? Lisilo la kibeberu? Why not choose equivalent names like "dodo"; "chungwa"; "dafu"; "embe"; "nanasi"; etc?
Kwa sasa ni ngumu kukupa nauli ya kwenda na kuludi pia kwa watu wa mikoani pia ni changamoto kwa sababu kundi bado changa malengo yetu movie zetu kupeleka kwenye television za hapa Tanzania pili Tunazilusha YouTube kwenye channel ya 255 nyumbani unaweza kuzitazama baadhi ya kazi zetuVipi kuhusu mahitaji muhimu kama malazi, chakula, hela ya nauli, nk. Ni kujitegemea, au mna utaratibu maalum? Maana sisi wengine tuko Mikoani.
Na lengo la hilo kundi lenu ni kurusha vipindi vyenu kwenye kituo cha luninga, au ni kwa ajili ya kuelimisha tu kwenye makongamano?
Kwa sasa ni ngumu kukupa nauli ya kwenda na kuludi pia kwa watu wa mikoani pia ni changamoto kwa sababu kundi bado changa malengo yetu movie zetu kupeleka kwenye television za hapa Tanzania pili Tunazilusha YouTube kwenye channel ya 255 nyumbani unaweza kuzitazama baadhi ya kazi zetuNatokea Korogwe. Napata sehemu ya kufikia?
Babe tuingie kwenye hiyo fani eeh? Nawish piaVipi kuhusu mahitaji muhimu kama malazi, chakula, hela ya nauli, nk. Ni kujitegemea, au mna utaratibu maalum? Maana sisi wengine tuko Mikoani.
Na lengo la hilo kundi lenu ni kurusha vipindi vyenu kwenye kituo cha luninga, au ni kwa ajili ya kuelimisha tu kwenye makongamano?
Una tako? Hio ni sifa ambatano ya wadada wa bongo movie.Babe tuingie kwenye hiyo fani eeh? Nawish pia
Shule nayo muhimu.. Communication skillsHuna majibu yenye PR.
Ningekuwa mm ningejibu hivi;
"Kwa sasa hatuna utaratibu huo, ingawa kwa baadae ikiwa itafaa tutaweka utaratibu huo ili kusaidia wasanii wachanga na wenye mahitaji maalum. Asante"
Duh sifa siyo kipaji ni tako ? Tuna safari ndefu sana movies zetu kucross border🤔😛 ndiyo maana hata ndani ya nchi tu watu hawaangaliiUna tako? Hio ni sifa ambatano ya wadada wa bongo movie.
Twende mama! Huu usawa huu, tusipokuwa makini, tutaishia tu kuishi maisha ya kuunga unga!Babe tuingie kwenye hiyo fani eeh? Nawish pia
Sio kweli kipaji chako hakichagui sura wala rangi ya ngozi maana sanaa ya maigizo ni simulizi ya video na sautiDuh sifa siyo kipaji ni tako ? Tuna safari ndefu sana movies zetu kucross border[emoji848][emoji14] ndiyo maana hata ndani ya nchi tu watu hawaangalii