KingRay JF-Expert Member Joined May 5, 2013 Posts 516 Reaction score 291 Apr 14, 2021 #1 Habari, tunatafuta Production Supervisor very urgent. Awe na uzoefu wa kusimamia Kiwanda cha Vinywaji kama Maji etc ... Elimu : angalau BA in Food Processing/ Chemical/ or even electro Engineering Uzoefu: angalau si chini ya miaka mitano kwenye viwanda vya maji au soda/Juice Tuma CV: hr@kisimawater.com Ahsante.
Habari, tunatafuta Production Supervisor very urgent. Awe na uzoefu wa kusimamia Kiwanda cha Vinywaji kama Maji etc ... Elimu : angalau BA in Food Processing/ Chemical/ or even electro Engineering Uzoefu: angalau si chini ya miaka mitano kwenye viwanda vya maji au soda/Juice Tuma CV: hr@kisimawater.com Ahsante.
Elyn1122 Member Joined Dec 27, 2018 Posts 5 Reaction score 2 Apr 14, 2021 #2 Mi nna INDUSTRIAL ENGINEERING
Star onair Senior Member Joined May 31, 2020 Posts 144 Reaction score 145 Apr 14, 2021 #3 Mkuu mimi sina hiyo bachelor. Ila kama kuna nafasi za vibarua nitashukuru Sana ukiniconnect. Elimu yangu ni kidato cha 4. Nina ujuzi wa computer. Nipo tayari kufanya kazi hata KWA malipo kiduchu at least nipate cha kuandika kwa CV yangu.
Mkuu mimi sina hiyo bachelor. Ila kama kuna nafasi za vibarua nitashukuru Sana ukiniconnect. Elimu yangu ni kidato cha 4. Nina ujuzi wa computer. Nipo tayari kufanya kazi hata KWA malipo kiduchu at least nipate cha kuandika kwa CV yangu.
W wizy JF-Expert Member Joined Sep 23, 2016 Posts 4,193 Reaction score 10,454 Apr 14, 2021 #4 KingRay said: Habari, tunatafuta Production Supervisor very urgent. Awe na uzoefu wa kusimamia Kiwanda cha Vinywaji kama Maji etc... Click to expand... Je, mwenye bachelor in physics na experience ya mwaka mmoja anaweza kuapply?
KingRay said: Habari, tunatafuta Production Supervisor very urgent. Awe na uzoefu wa kusimamia Kiwanda cha Vinywaji kama Maji etc... Click to expand... Je, mwenye bachelor in physics na experience ya mwaka mmoja anaweza kuapply?
Ibrahim daud JF-Expert Member Joined Feb 10, 2013 Posts 609 Reaction score 525 Apr 14, 2021 #5 KingRay said: Habari, tunatafuta Production Supervisor very urgent. Awe na uzoefu wa kusimamia Kiwanda cha Vinywaji kama Maji etc... Click to expand... Vibarua tupo Elimu kidato cha sita Jinsia ya kike 0684277007
KingRay said: Habari, tunatafuta Production Supervisor very urgent. Awe na uzoefu wa kusimamia Kiwanda cha Vinywaji kama Maji etc... Click to expand... Vibarua tupo Elimu kidato cha sita Jinsia ya kike 0684277007
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,156 Reaction score 55,656 Apr 14, 2021 #6 Star onair said: Mkuu mimi sina hiyo bachelor. Ila kama kuna nafasi za vibarua nitashukuru Sana ukiniconnect. Elimu yangu ni kidato cha 4. Nina ujuzi wa computer. Nipo tayari kufanya kazi hata KWA malipo kiduchu at least nipate cha kuandika kwa CV yangu. Click to expand... Unaweza kutengeneza video za katuni?
Star onair said: Mkuu mimi sina hiyo bachelor. Ila kama kuna nafasi za vibarua nitashukuru Sana ukiniconnect. Elimu yangu ni kidato cha 4. Nina ujuzi wa computer. Nipo tayari kufanya kazi hata KWA malipo kiduchu at least nipate cha kuandika kwa CV yangu. Click to expand... Unaweza kutengeneza video za katuni?