Tunatafuta noah ya kokodi

FLAVOR

Senior Member
Joined
Jun 13, 2012
Posts
138
Reaction score
49
Tunatafuta noah ya kukodisha kwaajili ya distribution kwa muda wa miezi sita, itakuwa inatoka from Nyerere road, inaenda samora, ali hassan mwinyi na kumalizia mlimani city.

IM me ili tuongee zaidi. Iwe katika hali nzuri na full AC sababu itasambaza madawa.

Unatulia ofisini huku Noah lako likiingiza pesa jioni
 
Mkuu chukua hii ila bei ni 70000= imewekwa namba leo
 

Attachments

  • 1392718127341.jpg
    65.8 KB · Views: 94
mkuu karibu solidarity car rental ltd bei cheap sana au piga namba hii 0686100005
 
Huyu kaamua ku enjoy watu hapa.
 

Hizo noah za kokodi sijui kama simeshaingia bongo!
 

asanteni nimepata. Asante jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…