Tunatafuta Insurer

LENJENTZ

Member
Joined
May 21, 2013
Posts
69
Reaction score
10
Salama wakuuMfanyakazi au mtafuta kazi mwenye ujuzi na maswala ya Insurance anahitajikaTunahitaji mtu ambaye ana elimu ya mambo ya bima na uzoefu kias kuhusiana na maswala haya,Tafadhali kama una uzoefu na mambo ya bima na elimu yakutosha kwa maana ya digrii moja na kuendelea tafadhali tuma CV yako mara moja au ya ndugu unayeamini ana uzoefu na maswala ya bima na claimsCV zitumwe info@lenjentz.com
 
Ahsante JF kwa kurekebisha tangazo langu
 

Habari mkuu... Nafikiri HEADING ingekuwa "TUNATAFUTA INSURANCE OFFICER" na sio "TUNATAFUTA INSURER"

Insurer means = an insurance company which agrees to pay someone who pays them for insurance for losses suffered pursuant to the terms of an insurance policy.

Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…