Tunatafuta bajaji ya mkataba au hata ya kupeleka hesabu kwa siku

Tunatafuta bajaji ya mkataba au hata ya kupeleka hesabu kwa siku

Joined
Jan 20, 2025
Posts
34
Reaction score
35
Habari za asubuhi wakuu .. kuna ndugu yangu anatafuta bajaji ya mkataba au hata ya kupeleka hesabu kwa siku

1. Anayo leseni ya udereva
2. Ni mwadilifu pia ni mcheshi
3. Ni mchapa kaz muda wote

Boss wa bajaji au gari ya bolt nakuhakikishia hutojutia endapo utampa kazi ndugu yangu, kiumri ni bado kijana wa miaka 22 kazi anapiga ipasavyo.
 
Atafute pesa kama million 2 halafu aende Watu credit. Akakope bajaji yake. Kwa msaada zaidi anaweza kuitafuta hiyo kampuni mitandaoni
 
watafute tvs kwa mawasilaino haya;
Screenshot_20250726_012736_Chrome.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom