Tunarudi nyuma? Uchumi wa Tanzania unatarajiwa kukua kwa 4%

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,434
7,055
Nimeshtuka! Taarifa ya leo ya IMF inasema uchumi wa Tanzania unakadiriwa kukua kwa 4% na sio 6.6% kama ilivyokadiriwa mwaka uliopita.

Hii maana yake ni kwamba tumedrop. Uchumi umesinyaa. Tulizoea kusikia kauli za uchumi unakua kwa kasi tangu awamu ya JK kwamba tunasogelea 7.1%, leo vipi?

Nini kimetokea? Tutapona na mfumuko wa bei kweli? Mbona kama tunarudi nyuma tena!
==============

DAR ES SALAAM, April 10 (Reuters) - The International Monetary Fund lowered its forecast for Tanzania’s economic growth this year and in 2020 to around 4 percent from a previous forecast.

In its World Economic Outlook, released on Tuesday, the Fund also predicted the East African nation’s consumer price inflation will reach 3.5 percent this year and edge up to 4.5 percent in 2020.

Tanzania’s economy will expand at 4 percent this year then accelerate slightly to 4.2 percent next year, from an estimated 6.6 percent in 2018, the Fund said in its forecasts.

Source:
 
Hawa mabeberu wanatufuatilia sana.
laminated-poster-fur-horns-billy-goat-animal-animal-world-goat-poster-print-24-x-36.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka, sio mzaha. Hii ni habari sensitive.

Ina maana Serikali inatudanganya kila siku kwa kutupatia takwimu za uongo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria mpya ya takwimu haitaki vitu kama hivi visemwe na anayediriki kufungua mdomo matokeo yake nadhani unayajua.

Lengo ni kuficha nini kinaendelea, kiukweli hali hii lazima itokee kwa maana kwa sasa nchi iko katika matumizi makubwa kuliko uzalishaji na uwezeshaji wananchi pamoja na mazingira magumu kwa wawekezaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi madhara ya sera zetu mbaya za kiuchumi yataanza kuonekana kuanzia mwaka huu. Report zinazohusiana na uwekezaji, ukuaji wa uchumi, makusanyo ya kodi, za mwaka 2018/2019 ambazo zitatolewa mwakani zitaonesha mambo mengi yalivyoenda kombo kipindi hiki.

Kwenye ukuaji yaani growth rate, hata ukipoteza 0.5%, kuirudisha siyo kazi rahisi. Madhara ya sera mbaya, hasa zile za kuwachukia wawekezaji na matajiri, athari zake zitaendelea kuonekana kwa zaidi ya miaka mitano hata kama tutaamua kubadilika leo.

Zimbabwe wanahangaika sana mpaka sasa. Hata baada ya kubadilisha sera mbalimbali na mitazamo, madhara hasi ya utawala wa Mugabe, yanaendelea.

Sahizi serikali imeamua kuanza zoezi la kuwatambua wazungu walowezi walioporwa ardhi na Mugabe ili walipwe fidia. Yote hayo ni kujaribu kupata confidence ya wawekezaji but it will never happen overnight.

Hapa Tanzania, makampuni yote ya nje yaliyowekeza kwenye sekta ya madini, na mengi yalikuwa yakifanya utafiti, hayachimbi, hayavuni chochote, huku wakitegemea masoko ya kimataifa ya hisa, kwa kushutumiwa tu kuwa ni majizi, mara leseni zikazuiwa kutolewa, mara sheria mbaya mbaya zikatungwa, yalipoteza kati ya 30 - 60% kwenye share markets. Makampuni haya au yamefilisikia Tanzania, au kukaribia kufilisika au kupoteza confidence kwa shareholders wao kwa kuwekeza kwenye risk country, hata ungebadilisha sheria leo zikawa nzuri, si rahisi makampuni haya kurudi nchini mara moja.

Kauli tu ya kiongozi mkuu wa nchi inaweza kuinua uchumi au kuua uchumi. Ni kutokana na hiyo, ndiyo maana kiongozi mkuu kabla ya kutamka neno lazima alifanyia tathmini ya kutosha ili kujua athari ya anachotarajia kunena.

Kauli nyingi za viongozi wa awamu hii zinalenga umaarufu wa kisiasa kuliko kujenga uchumi. Wasichojua ni kuwa uchumi mzuri ndio unamjengea kiongozi heshima na umaarufu kwa watu anaowaongoza kuliko maneno matupu ya kisiasa.
 
Nimeshtuka! Taarifa ya leo ya IMF inasema uchumi wa Tanzania unakadiriwa kukua kwa 4% na sio 6.6% kama ilivyokadiriwa mwaka uliopita.

Hii maana yake ni kwamba tumedrop. Uchumi umesinyaa. Tulizoea kusikia kauli za uchumi unakua kwa kasi tangu awamu ya JK kwamba tunasogelea 7.1%, leo vipi?

Nini kimetokea? Tutapona na mfumuko wa bei kweli? Mbona kama tunarudi nyuma tena!
==============

DAR ES SALAAM, April 10 (Reuters) - The International Monetary Fund lowered its forecast for Tanzania’s economic growth this year and in 2020 to around 4 percent from a previous forecast.

In its World Economic Outlook, released on Tuesday, the Fund also predicted the East African nation’s consumer price inflation will reach 3.5 percent this year and edge up to 4.5 percent in 2020.

Tanzania’s economy will expand at 4 percent this year then accelerate slightly to 4.2 percent next year, from an estimated 6.6 percent in 2018, the Fund said in its forecasts.

Source: https://af.reuters.com/article/tanzaniaNews/idAFL8N21R5QE
expectations, probability,it might be yes or not

1067681
 
ni wewe ndio umeleta hii au umedukuliwa ? nataka uthibitishe ili sasa ndio nichangie .
 
Acha bhana mabeberu watakuwa hawaja ona SGR , midege na stigler

Back
Top Bottom