Shukrani sana.Hakuna biashara nzuri ka sasa Bongo ambapo ukakuta mtu anadisplay kazi yake, bei zake, mawasiliano na locstion,
Biashara zote saivi zimegeuka utapeli, mtu anapost maelf ya bidhaa ila bei utasikia njoo DM.
Hongera brother ila usije zidiwa na wateja na ww ukaanza kuwaweka sasa, hakikisha kama una kaz nyingi mwambie mteja, usimwambie kesho mchana anafika mchana hata kaz hujaanza itaharibu kaz

OFFER OFFER 


























