Tunaposema CCM ni ilele tunamaanisha

Tunaposema CCM ni ilele tunamaanisha

Nikwamba hawatabadilika. Ni vibaka walewale

Mkuu umetumia neno kali sana,inaonesha ni jinsi gani ulivyo na hasira na hawa jamaaaa,basi usifanye kosa kesho kutwaaa mkuu.kila la heriii
 
Kama kuna mtu anadhani kuichagua CCM kutaleta mabadiliko TANZANIA, basi huyo mtu ni mpuuzi kuliko wapuuzi.

CCM ni ile ile, ufisadi, wizi, ubadhirifu etc ni ule ule, Na sasa wanataka kuleta machafuko nchini kwa kujaribu kung'ang'ania madaraka(ingawa hawatafanikiwa).

kuna mtu aliniambia ya kuwa hawa jamaa ni jeuri tuu kama wanaweza kuagiza magari ya polisi 700,kumbe hata kuagiza ambulance(gari za wagonjwa inawekana tuu).tuwe makini october 25
 
Back
Top Bottom