crunkstaa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 331
- 161
Magufuli: Diallo,nikipata uraisi takubeba kibiashara.
Katika kauli iliyonifanya nione kweli CCM ni janga la taifa hili na tusitegemee mabadiliko yoyote zaidi ya kubebana kama shukrani katika uongozi wa Magufuri, juzi wakati anamuita mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza bwana Antony Diallo, Magufuri pasipo aibu na kuonyesha kuwa kweli CCM haina future tena alitamka na namnukuu; Antony Diallo wewe ndiye umetusaidia kuturushia mikutano yetu ya kampeni, hivyo nikiwa raisi tahakikisha nakubeba katika biashara zako!!!
HUYU NDIYE MUADILIFU ATAKAYE ANZISHA MAHAKAMA YA KUFUNGA MAFISADI NA MAJIZI.