[quote="KakaKiiza, post: 1092178"]Hivi nimejaribu kufuatilia kwa ukaribu ndani ya jamii yetu kwenye vyombo vya habari nikakuta stori ni ileile!!Najivunia kwangu tukio hilo halijanikuta!
Nauliza kwanini inapotokea umemchoka mwenziyo (G/friend,B/friend)Huwezi kumtamkia wazi bwanae mimi nawewe basi!??Nilazima umtafutie visa hambavyo humpelekea yeye kumuumiza roho kwani yeye huwa bado yupo kwenye penzi!!Nawengini wamejitoa roho kwa sababu hizo nambaya zaidi wanawake wakichoka hutesa sana kwani unaweza kumpigia simu hata hapokei!!Bila kujali kiasi gani unampenda!!au akakuaidi ukutane naye mahali lakini hasitokee nabaadae mkikutana anakwambia habari zisizo kuwa na msingi!!Nini haswa inakuwa hivi??:shocked::confused2:[/QUOTE]
[HTML][/HTML]
Unasema hasa wanawake kwa sababu wewe ni mwanaume, wanaume ndio wamezidi kwani sometimes badala ya kukuambia tu hakutaki utakuta unampigia simu anampa demu wake mpya apokee hiyo nayo imekaa sawa?
PHP:[HTML][/HTML] Unasema hasa wanawake kwa sababu wewe ni mwanaume, wanaume ndio wamezidi kwani sometimes badala ya kukuambia tu hakutaki utakuta unampigia simu anampa demu wake mpya apokee hiyo nayo imekaa sawa?[/QUOTE] Kila mtu anasema kutokana na experience yake
1.INATEGEMEA UNAETAKA KUMFUNGIA OFISI YA UBALOZI(UHUSIANO) ANAKUPENDA KIASI GANI.....WAWEZA POTEZA MENO YOTE KWA KUVUNJA PENZI GHAFLA.
2.WENGINE AKIPENDA KAPENDA...KUMTOA MTU KAMA HUYO YATAKIWA KAZI NZITO.
3.WAPO WANAOACHA KISAILENSA(KIMYA KIMYA) ILI SIKU ZIJAZO AWEZE KU RE NEW (KURUDIANA NA WAKE)
4. UBABE NA HASIRA HUSABABISHA KUACHANA POLEPOLE.
5.Aaaaaah,ukweli ni kuwa penzi JIPYA la upande mmoja likizidi unasahau hata kusema KWAHERI kule kwa zamani.
HATA HIVYO NASHAURI KUWEPO NA USTAARABU UNAPOAMUA KUMUACHA MTU.....NILIKUWEPO.
Hivi nimejaribu kufuatilia kwa ukaribu ndani ya jamii yetu kwenye vyombo vya habari nikakuta stori ni ileile!!Najivunia kwangu tukio hilo halijanikuta!
Nauliza kwanini inapotokea umemchoka mwenziyo (G/friend,B/friend)Huwezi kumtamkia wazi bwanae mimi nawewe basi!??Nilazima umtafutie visa hambavyo humpelekea yeye kumuumiza roho kwani yeye huwa bado yupo kwenye penzi!!Nawengini wamejitoa roho kwa sababu hizo nambaya zaidi wanawake wakichoka hutesa sana kwani unaweza kumpigia simu hata hapokei!!Bila kujali kiasi gani unampenda!!au akakuaidi ukutane naye mahali lakini hasitokee nabaadae mkikutana anakwambia habari zisizo kuwa na msingi!!Nini haswa inakuwa hivi??:shocked::confused2:
KaKaKiiza vipi yamekukuta ndugu yangu?
Usidanganyike eti dunia ni duara Dunia inakona nyingi acha tu!!Na wanaoizunguka nakujikuta wametokea walipoanzia hawajui kimsingi huwa wamepotea kwenye hizo kona kwakuwa dunia nindefu!:confused2:
hivi nimejaribu kufuatilia kwa ukaribu ndani ya jamii yetu kwenye vyombo vya habari nikakuta stori ni ileile!!najivunia kwangu tukio hilo halijanikuta!
Nauliza kwanini inapotokea umemchoka mwenziyo (g/friend,b/friend)huwezi kumtamkia wazi bwanae mimi nawewe basi!??nilazima umtafutie visa hambavyo humpelekea yeye kumuumiza roho kwani yeye huwa bado yupo kwenye penzi!!nawengini wamejitoa roho kwa sababu hizo nambaya zaidi wanawake wakichoka hutesa sana kwani unaweza kumpigia simu hata hapokei!!bila kujali kiasi gani unampenda!!au akakuaidi ukutane naye mahali lakini hasitokee nabaadae mkikutana anakwambia habari zisizo kuwa na msingi!!nini haswa inakuwa hivi??:shocked::confused2:
duu mbona i topic imenichungulia kwa muda u?
stak mie
we finest wewe!!!!!!!
acha uchokozi.......
chichemi mie............dunia makarabashi
mi natenda tu maisha yanaendelea bt wat i dnt want is to slip in darkheart just bcz of man..cz mamangu alinambia mara tu nilipozaliwa nilitabasamu so natakka nifanye kicheko maisha yangu!!!!!!1
so nkisikia mtu anaumia km iv naona dahhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!
ni ayo tu finest....umeridhika baba? hpfull yeeeeeeeeeeeees!!!!!!!
kitu nilichojifunza katika mahusiano na hasa kwa sisi waswahili ni kuwa wengi wetu hatupendi kukubali ukweli na hasa kwa wale wachace wanaoweza kuwatamkia wenza wao kuwa wamewachoka/hawawapendi tena. Sasa sijui ni mazoea au kitu gani? Jamaa yangu demu wake alimwambia anaomba uhusiano wao uishe kwani hajisikii kuwa na yeye tena. ni miezi 3 sasa jamaa hataki kukubali eti haiwezekani.....mh!! Na ndio maana mtu huamua tu kufanya vituko ili mambo yaishe..