Kashi kuna baadhi ya nchi hawahitaji hizo TOEFL mfano nchi za Scandinavia wanakuuliza tu ulitumia lugha gani wakati unasoma,kama English hawakuulizi TOEFL ila kama ulitumia lugha nyingine watakuomba hiyo TOEFL
Sio kila mtu ana uwezo wa kujilipia, usawa wenyewe huu wa kuunga unga...Acheni woga, jipangeni mkalipie fully fees! S/ship nyingi zina mashart ya kijinga jinga wkt ukienda nchi nzuri box tu lakutoa na unalipia fees na kusoma
Ndugu wanajukwaa salamu kwenu,kwa wale wote wanaotafuta udhamini na udahiri wa shahada ya umahiri/uzamili nchi za nje tafadharini sana tupeana mikakati jinsi ya kufanikisha swala hili nyeti.
Naanza Mimi mwenyewe,ili upate udhamini wa masomo yako ni lazima uwe umeomba chuo na umepata udahili na chuo husika kimekupa barua,ambayo unaitumia kuombea udhamini Wa kifedha.
Naomba wengine muendelee
Acheni uoga wa maisha nyie. Kama umesoma vizuri ukapata degree moja. Masters / PHD ya kazi gani? Au mnataka muendelee kutoa excuse ya kutokuwa na hela . ( Unajua badoi napiga piga shule bana ). The only excuse to be broke is to be in jail. Tumieni Degree zenu kukabiliana na changamoto za maisha. Acheni ubabaishaji.
wewe utakuwa na gpa 2.4 ambayo huwez endelea soma kunguru wewe..
Acheni uoga wa maisha nyie. Kama umesoma vizuri ukapata degree moja. Masters / PHD ya kazi gani? Au mnataka muendelee kutoa excuse ya kutokuwa na hela . ( Unajua badoi napiga piga shule bana ). The only excuse to be broke is to be in jail. Tumieni Degree zenu kukabiliana na changamoto za maisha. Acheni ubabaishaji.
wewe utakuwa na gpa 2.4...... ndorooooooobooo weee