Tunaomba updates za kampeni ya Lowassa

Tunaomba updates za kampeni ya Lowassa

Manjagata

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
16,472
Reaction score
18,515
Wadau tunaomba updates sasa tumechoka na porojo za Dr. Slaa. Sasa hivi Lowassa yuko wapi kwa leo?
 
Slaa keshaiba 'shoo'...sasa hivi Slaa ndo habari ya mjini eti!
 
Wadau tunaomba updates sasa tumechoka na porojo za Dr. Slaa. Sasa hivi Lowassa yuko wapi kwa leo?

Mara ya mwisho nilisikia amekacha...kuingia Ludewa...baada ya hapo akabanwa poooo.
 
CHADEMA naona hii ni safari ya ukingoni....SLAA kavunja boti kabisa
 
hajavunja bodi anahaha sana ana chuki binafsi ana nyongo
 
UKAWA mlieeee tu....R.I.P ukawa...
 
Huyu Slaaa anaonesha ana tabia ya Kuzira. Hivi kuna mtu anajua kwa nini aliacha Upadri akazira na kuwa mwanasiasa.
Hiyo ndio shidaaa ukiwa roho ya namna hiyo. Yeye aongee asemalo lakini watu CCM imewachoshaaaa! Watamchagua Lowasa tuuu..! Yeye akale hizo bilioni zake nchi za nje kama alivyoahidiwa na CCM. Ataamia ulaya!!!!
 
Hata akipiga porojo VP.Kaishakosa nafasi huyo.Lowasa Rais wetu ajaye.
 
SILAA hawezi kuwa Habari mjini ni leo na kesho tu kwenye magazeti kwanza tulishamsahau kwa hiyo haitusumbui
 
Na kweli ukiona mtu alozira madhabahu muogope pili Hana hata ndoa hii ni fedhea zaidi. Kiongozi mkubwa kama yeye kuishi na Kimada Tena alikuwa mke wa mtu? Mmmmmmmh nimechoka
 
Mgombea wetu yupo songea muda huu, kama mtu aliweza kulisaliti kanisa nini chama cha siasa
 
kweli kazira mkuu. hajasema kama kuna mbadala wa lowasa kwa uchaguzi huu.
 
wanawake wabaya Dr. Slaa mke kamgeuza geuza, hakika wanawake wa kihaya wazuri sana.
 
kuanzia leo watu watafukuza mwizi kimyakimya na tar 25 ndo tutajua nani alieleweka.
 
Back
Top Bottom