Tunaomba Updates za Interview za Tasac

Jack HD

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
851
Reaction score
1,170
Wakuu habari,

Naomba uzi huu utumike kwa ajili ya kupeana updates za Interviews za Tasac kwenye kada ya Clearing and Forwarding Officer, Grade One & Two.

Interviews za Oral zilishafanyika hivyo, updates zozote kwenye matokeo naomba tupeane hapa.
 
NGOJA WAJE
 
namba yako ni 3000/ ngapi nikuangalizie?
 
Wakuu habari,

Naomba uzi huu utumike kwa ajili ya kupeana updates za Interviews za Tasac kwenye kada ya Clearing and Forwarding Officer, Grade One & Two.

Interviews za Oral zilishafanyika hivyo, updates zozote kwenye matokeo naomba tupeane hapa.

hakunaga majibu ya Oral, majibu ni kuitwa kazini
 
Wakuu habari,

Naomba uzi huu utumike kwa ajili ya kupeana updates za Interviews za Tasac kwenye kada ya Clearing and Forwarding Officer, Grade One & Two.

Interviews za Oral zilishafanyika hivyo, updates zozote kwenye matokeo naomba tupeane hapa.
Yeap ngoja wachuje kwanza kazi ipo na sijui itachukua mda gani
 
Wakuu habari,

Naomba uzi huu utumike kwa ajili ya kupeana updates za Interviews za Tasac kwenye kada ya Clearing and Forwarding Officer, Grade One & Two.

Interviews za Oral zilishafanyika hivyo, updates zozote kwenye matokeo naomba tupeane hapa.
Kama huna kimemo , chenye jembe na nyundo katafute kazi nyingine jombaa
 
Tushapigwa nn hapa mpaka september huko maana wiki mbilu tayar tulifanya oral interview trh 10 august watakaoitwa kazini hongera yao maana watu walikuwa nyomi watu wakubwa kibao
 
Mkuu unaposema watu wakubwa una maana gani?
 
Mkuu wiki imeshaisha hii. Una neno?
Kweny inteview nikisema watu wakubwa palikuwa na watu wanaonyesha ni wafanyakazi kabisa wengine walikuja na magari kweny interview waty wako age sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu wiki imeshaisha hii. Una neno?
Wanatoa september hapo kuna maamuzi magumu kama unajiamini usizime simu kuanzia sasa wanaweza kukupigia mda wowote ule kuchukua barua ndani ya siku saba
 
Watu wanashikana mikono na wakubwa hapo uchakachuaji kama kawa ni maamuzi ya mwisho nan awekwe nan atemwe
Unataka kuniambia performance hawatoangalia kabisa? Zile nafasi hamsini hata wakichomekana watachukua tu wenye uwezo pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…