financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,139
- 43,360
Amazing, point 10-13?, unataka upewe umanager kabisa ama?, sifa hizo sasaNilisoma nikaona ni maswali rahisi Sana lakini nilivyoanza kujibu tu nikagunduwa siyo maswali rahisi nikaamuwa kujibu hivyo hivyo kila swali point 10-13 maana zilikuwa zinakuja nyingi sana ila nimeshafaulu ,,mkiona amefauru mtu mmoja tuu mjuwe ni Mimi tuu
Anhaa sawa mkuu huko kulikuaga mbali sana mimi nilikaaga mtaa wa murubona na TAPAKasulu Mitaa ya kwa shayo hapa
Vumbi lilikua balaa halafu nilikua sijaridhika ilikuaga wikend nazama Kigoma Mjini najiona kama vile nipo DSM naskia wameshaanza kuweka lami? Wewe huko ndo home?Mbona ulipakimbia sass mkuu
Yeah wanaweka lami mimi huku nafanya biashara ya stationary tu huku home ni MasasiVumbi lilikua balaa halafu nilikua sijaridhika ilikuaga wikend nazama Kigoma Mjini najiona kama vile nipo DSM naskia wameshaanza kuweka lami? Wewe huko ndo home?
Uliza point sasa zilikuwa za ukweli au za uongo happy ndiyo sijuiAmazing, point 10-13?, unataka upewe umanager kabisa ama?, sifa hizo sasa
Uliza point sasa zilikuwa za ukweli au za uongo happy ndiyo sijui
Yani itafamika huko huko wanaosahisha watajijuwa wenyewe huko mie nishawandikia tayari, inawezekana uliandika ili mradi tu ?, lkn katika hizo 10 huwezi kosa 5 hadi 6 hapo, all the best.
Kila rakheri, natamani kupata mrejesho siku mkipata matokeo, nahisi umefaulu eti.Yani itafamika huko huko wanaosahisha watajijuwa wenyewe huko mie nishawandikia tayari
Asante mkuu nishafauru ,, najianda na oral tuu hapaKila rakheri, natamani kupata mrejesho siku mkipata matokeo, nahisi umefaulu eti.
Kigoma to Kasulu Lami ishakamilika kwa asilimia 95 pamekua pafupi nowadays.Vumbi lilikua balaa halafu nilikua sijaridhika ilikuaga wikend nazama Kigoma Mjini najiona kama vile nipo DSM naskia wameshaanza kuweka lami? Wewe huko ndo home?
Kipindi hicho ilikua ukitaka kwenda ni masaa 3, njia mbovu balaaKigoma to Kasulu Lami ishakamilika kwa asilimia 95 pamekua pafupi nowadays.
1.What is customs, give 2 definition as in tax administrationJamani kwa wale ambao mmefanya interview hasa upande custom assistant tunaomba mrejesho interview ilikuaje maswali yaliyo ulzwa mi niltamani sana nifanye hii interview ila baada ya ratiba kubadilishwa nikakwama kabisa

Mungu awabariki sana na mfanikiwe niltaman sana nifanye ila dah sikufanikiwa1.What is customs, give 2 definition as in tax administration
2.mention necessary documents for clearance when importing goods.
3. Mention documents for payments in import and export of goods.
4.discus the advantage of ide system with examples
SOLUTION:Haya ndio yalikuwa maswali kiongozi
1. What should appear in a custom inspection report
2. Necessary documents for shipping merchandise
3. How do you assess value for import from a Multilateral corporation
4. How do you generate revenue from a bonded warehouse
My take: Hakuna awali nililokuwa nalifahamu kwa usahihi cause ya taaluma yangu ya awali. So, nilichojibu nilitumia akili ya kujiongeza.
Ni noma sana Kama haya ndiyo majibu basi ndiyo ikawa hivyo yaniSOLUTION:
-Name of the Importer
-Agent
-Date
-Location
-Description Of items/goods
-PKG
-Quantinty
-Unit of measurement
2: Bonded Wharehouse is the place where importer preserve the goods for temporary so as they can pay taxes and duties when they are ready to do so. The goods can stay for 6months but the Commissioner for Customs and Excise may extend the time as may deem fit.
There are two Types of Bonded warehouse
-Private
-General/Government
ways to generate revenue from bonded warehouse
-To make sure that all warehoused good are properly documented with proper regime ie. IM7
-To ensure that all released good at the Bonded warehouse corresponds with presiding documents
-To ensure that customs laws regarding the warehoused goods including time are well followed by importer.
-To auction all overstayed cargo/goods in the warehouse
-By Collecting monthly rates to the importers who are not ready to pay taxes for the consignments.
Necessary documents for shipping Macharndise
-Invoice (Pro-former and Commercial
-Bill of Lading/Airway Bill
- Pack List
-Certificate of Origin
-shippers instruction
Assessing the import from multilateral Cooperation
-First of all I will for PRO 6 (This is a special form provided by Ministry of Foreign Affairs for the organization for For introducing and for Exemption purposes of International Organization
-Check for Additional Customs Procedure code to see the types of exempted taxes for example many diplomatic goods are subjected to import duty exemption.
-Rules of origin Some Economic blocks offer special preferences during customs clearance
-Exemption letter from exemption Authority ie Commissioner for Customs and Excise (CCE) Approval
Ungejibu hivi kama una Wandiko Mzuri ungepata 100/100 ila ipo siku yako hata sisi tulihangaika sana Enzi hizo. Keep it up Wadogo zangu.
Umesoma kwanza maswali then ukaenda kusoma kitabi cha Public finance and taxation cha NBAA.SOLUTION:

hilo swali la 3 la kudetermine value of imported goods sio kua anataka utaje customs valuation methods on import na zipo methods kama 6,refer kwenye kitabu cha public finance and taxation sehem ya mambo ya customsSOLUTION:
-Name of the Importer
-Agent
-Date
-Location
-Description Of items/goods
-PKG
-Quantinty
-Unit of measurement
2: Bonded Wharehouse is the place where importer preserve the goods for temporary so as they can pay taxes and duties when they are ready to do so. The goods can stay for 6months but the Commissioner for Customs and Excise may extend the time as may deem fit.
There are two Types of Bonded warehouse
-Private
-General/Government
ways to generate revenue from bonded warehouse
-To make sure that all warehoused good are properly documented with proper regime ie. IM7
-To ensure that all released good at the Bonded warehouse corresponds with presiding documents
-To ensure that customs laws regarding the warehoused goods including time are well followed by importer.
-To auction all overstayed cargo/goods in the warehouse
-By Collecting monthly rates to the importers who are not ready to pay taxes for the consignments.
Necessary documents for shipping Macharndise
-Invoice (Pro-former and Commercial
-Bill of Lading/Airway Bill
- Pack List
-Certificate of Origin
-shippers instruction
Assessing the import from multilateral Cooperation
-First of all I will for PRO 6 (This is a special form provided by Ministry of Foreign Affairs for the organization for For introducing and for Exemption purposes of International Organization
-Check for Additional Customs Procedure code to see the types of exempted taxes for example many diplomatic goods are subjected to import duty exemption.
-Rules of origin Some Economic blocks offer special preferences during customs clearance
-Exemption letter from exemption Authority ie Commissioner for Customs and Excise (CCE) Approval
Ungejibu hivi kama una Wandiko Mzuri ungepata 100/100 ila ipo siku yako hata sisi tulihangaika sana Enzi hizo. Keep it up Wadogo zangu.
Methods 2hilo swali la 3 la kudetermine value of imported goods sio kua anataka utaje customs valuation methods on import na zipo methods kama 6,refer kwenye kitabu cha public finance and taxation sehem ya mambo ya customs
Unamaanisha hizihilo swali la 3 la kudetermine value of imported goods sio kua anataka utaje customs valuation methods on import na zipo methods kama 6,refer kwenye kitabu cha public finance and taxation sehem ya mambo ya customs