Nianze kwa kumuomba ndugu
Pascal Mayalla atupe tafsiri kwa "kizalendo" na kwa "kingoosha"
Ningependa sana jiwe aelewe kwa lugha zote tatu kwa maana tunawajibika kumkumbusha.
Nimelazimika kuomba msaada huu baada ya kugundua kuwa muimbaji huyu hajawahi kutabiri uongo.
Zingatia huu wimbo hapa chini kujua namaanisha nini.